Ex wangu anaona status zangu licha ya kufuta namba zake kila mahali na ku unfollow Social Media

Rudisha majeshi nyuma! Jipange shambulia upya teka mji mkuu na mji mashuhuri.
 
Change nani aone status zako kama hutaki aone..!! By the way inakusumbua nini akiona? Wewe unaona kuwa kaona kwa sababu yeye bado kaku-save. Kwa vile wewe hujam-save, utaona jina analolitumia kwenye whatsapp yake
 
Kwa nini usiache kuweka status ili asiwe anaziona
 
Hiyo namba yake umefuta jina. Hujafuta namba. Sijui kama utanielewa. Yaani unaweza kusave namba ya mtu bila jina na ndicho ulichofanya bila ya kujua.
Na amesema hataki kumblock
 
Ingia kwenye settings za whatsapp, angalia status, chagua nani aone status yako kuwa contacts only.
 
Embu nipe namba yako na mm nionage hizo status zako....
 
Ingia kwenye settings za whatsapp, angalia status, chagua nani aone status yako kuwa contacts only.
Nado hujajibu hoja yake.

Hoja yake ni kuwa hii inawezekanaje usiye na nba zake aone status zako?
 
Mkuu, umefuta namba ya mtu alafu bado anaona status zako, haingii akilini. cos najiuliz maybe amehack simu yangu
Mkuu humu wengi wanawaza zaidi huyo ex hawajaelewa unachotaka....wamejikita kwa ex.
Mcheki mkwawa huwa yuko vizuri kiteknolojia
 
Nado hujajibu hoja yake.

Hoja yake ni kuwa hii inawezekanaje usiye na nba zake aone status zako?

Inawezekana ikiwa umeweka option ya mtu yeyote kuona. Hii haijalishi as long as ana namba yako ataona.
 
Inawezekana ikiwa umeweka option ya mtu yeyote kuona. Hii haijalishi as long as ana namba yako ataona.
Options ni tatu
ni option ya watu wote ni kwa wale tu ambao nina namba zao
 
Kama ni kweli basi umefuta jina kwenye namba, lakini namba bado umesave
 
Atakua mchawi. Na yeye kwanini afuatilie? Atafute shughuli awe busy
Wakuu tuwe tunapanua wigo wa kufikiri.
Hatujui status zake zinahusu nini na ujue siku hizi stqtus ni moja ya platfom ya biashara.
Huenda anafuatiliaga kuwa tqngqzo lake limewafikia wqngqpi.
Anapokagua na kufuatilia anashangaa kuona kuwa aliyekuwa wanakojo..za..na naye ame view๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…
 
Change nani aone status zako kama hutaki aone..!! By the way inakusumbua nini akiona? Wewe unaona kuwa kaona kwa sababu yeye bado kaku-save. Kwa vile wewe hujam-save, utaona jina analolitumia kwenye whatsapp yake
Jibu la tatizo lako ni hili hapa[emoji115][emoji115][emoji115]
Sijasave number mkuu, nimeangalia namba yake sijasave,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ