Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Sio dhambi, kama wameshindwana kwenye ngono wanaweza wakafanya biashara nyingine, kwangu sioni tatizo kwanini anahangaika nae. Utawakimbia wangapi au utafuta namba za wangapi?Wakuu tuwe tunapanua wigo wa kufikiri.
Hatujui status zake zinahusu nini na ujue siku hizi stqtus ni moja ya platfom ya biashara.
Huenda anafuatiliaga kuwa tqngqzo lake limewafikia wqngqpi.
Anapokagua na kufuatilia anashangaa kuona kuwa aliyekuwa wanakojo..za..na naye ame view๐๐๐๐
Status for business
Bado unawaza kitoto๐๐๐Sio dhambi, kama wameshindwana kwenye ngono wanaweza wakafanya biashara nyingine, kwangu sioni tatizo kwanini anahangaika nae. Utawakimbia wangapi au utafuta namba za wangapi?
Ndiyo maana kapigwa kibuti na demu halafu anajidai yeye ndiye kamuacha.Mwanaume unaweka status ili kuonesha nini kwa mfano?
Hapana Sina jibu nisiwe muongo, ukute kafananisha tu nambaBado unawaza kitoto๐๐๐
Mshangao ni vipi amefanya ku view status wakati namba umefutwa...jibu hili
Hujanielewa.Sijasave number mkuu, nimeangalia namba yake sijasave,
Sio Tsh ngapi nahisi siko safe alafu nataka kujua amefanyaje
Haipendezi kila ninachofanya mtu anajua, licha sina kitu cha kuficha lakini haipendez nikichat na mtu yeye anaina au nikiongea na mtu yeye anajua nimeongea na nani. hata kama hakuna cha maana tulichongea ila hapendez mtu kuwepo katHauko safe kivipi mkuu?unaficha nini kwani??
Unajua kitu inaitwa Whatsapp GB?Habari wangu.
Kuna ishu naomba msaada, sijuwi ndio mambo yamebadili siku hizi kwenye whatsApp.
Nilisitisha mahusiano na aliekuwa mpenzi wangu. Nilifuta namba yake na picha zake zote. Lakini ajabu bado nikiweka status anaona na jina inajitokeza lile alioandika kwenye whatsaap yake. Imetokea mara tatu nyakati tofauti.
Siku nyingine baada ya kuona status yangu nilitaka nimuulize lakini naona hii namba haijaseviwa. Nashindwa kumuuliza cos ndio attention anayosubiri kuona text yangu.
Niliamua ku unfollow lakini bado tu anaona, nikafuta picha zake zote, lakini bado tu anaona, nimegoogle kutaka kujua jambo hili linawekanaje, bado sijapata majibu ya kuridhisha.
Nilitaka niweke hasiwe anaona status zangu, lakini mimi nataka nisiwe na namba yake kabisa, kublock haitonisaidia cos bado namba yake itakuwepo kwa watu nilioblock.
Nimejaribu mtu mwingine, lakini mambo ni tofauti, nifuta namba yake hawezi kuona status yake.
Naomba msaada, au ndio features mpya za whatsapp au kuna kitu gani amefanya.
Nime restart simu yangu maybe kuna mahali kafanya mchezo lakini wapi.
Msaada sipendi aone status zangu.
Maunyama mengi ,hata ukudelete status GB inaona kama kawaida....Ukifuta Comment GB inaona kama kawaida.Unajua kitu inaitwa Whatsapp GB?
Imekaa vibaya ....Kali PHabari wangu.
Kuna ishu naomba msaada, sijuwi ndio mambo yamebadili siku hizi kwenye whatsApp.
Nilisitisha mahusiano na aliekuwa mpenzi wangu. Nilifuta namba yake na picha zake zote. Lakini ajabu bado nikiweka status anaona na jina inajitokeza lile alioandika kwenye whatsaap yake. Imetokea mara tatu nyakati tofauti.
Siku nyingine baada ya kuona status yangu nilitaka nimuulize lakini naona hii namba haijaseviwa. Nashindwa kumuuliza cos ndio attention anayosubiri kuona text yangu.
Niliamua ku unfollow lakini bado tu anaona, nikafuta picha zake zote, lakini bado tu anaona, nimegoogle kutaka kujua jambo hili linawekanaje, bado sijapata majibu ya kuridhisha.
Nilitaka niweke hasiwe anaona status zangu, lakini mimi nataka nisiwe na namba yake kabisa, kublock haitonisaidia cos bado namba yake itakuwepo kwa watu nilioblock.
Nimejaribu mtu mwingine, lakini mambo ni tofauti, nifuta namba yake hawezi kuona status yake.
Naomba msaada, au ndio features mpya za whatsapp au kuna kitu gani amefanya.
Nime restart simu yangu maybe kuna mahali kafanya mchezo lakini wapi.
Msaada sipendi aone status zangu.
Hujafuta ,ume hide tu.Mkuu, umefuta namba ya mtu alafu bado anaona status zako, haingii akilini. cos najiuliz maybe amehack simu yangu
Bado mtoto ww. Watu wazima hawana x na hua hawafuti namba za watesi wao hili wanapofanikiwa watesi wao waoneHabari wangu.
Kuna ishu naomba msaada, sijuwi ndio mambo yamebadili siku hizi kwenye whatsApp.
Nilisitisha mahusiano na aliekuwa mpenzi wangu. Nilifuta namba yake na picha zake zote. Lakini ajabu bado nikiweka status anaona na jina inajitokeza lile alioandika kwenye whatsaap yake. Imetokea mara tatu nyakati tofauti.
Siku nyingine baada ya kuona status yangu nilitaka nimuulize lakini naona hii namba haijaseviwa. Nashindwa kumuuliza cos ndio attention anayosubiri kuona text yangu.
Niliamua ku unfollow lakini bado tu anaona, nikafuta picha zake zote, lakini bado tu anaona, nimegoogle kutaka kujua jambo hili linawekanaje, bado sijapata majibu ya kuridhisha.
Nilitaka niweke hasiwe anaona status zangu, lakini mimi nataka nisiwe na namba yake kabisa, kublock haitonisaidia cos bado namba yake itakuwepo kwa watu nilioblock.
Nimejaribu mtu mwingine, lakini mambo ni tofauti, nifuta namba yake hawezi kuona status yake.
Naomba msaada, au ndio features mpya za whatsapp au kuna kitu gani amefanya.
Nime restart simu yangu maybe kuna mahali kafanya mchezo lakini wapi.
Msaada sipendi aone status zangu.
Fanya mambo ya msingi, achana na suala la kutazama 'viewers'.Habari wangu.