Ex wangu jamani, alichonifanyia siwezi msahau...

Alikua mkerewe tukakosana nikampiga sana, Akanambia nisije wai kanyaga karibu na ziwa, wala kuogelea kokote, nyie acheni mabinti wa kikerewe wana mikwara.
kwahiyo haujaenda ziwani?
atakudaka uwe msukule shauriako
 
Mtafute uwe unajipakulia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…