Ex wangu ndiye mtu wa kwanza kunitakia heri katika siku yangu kuzaliwa huko Facebook. Hii tunaiitaje??

Ex wangu ndiye mtu wa kwanza kunitakia heri katika siku yangu kuzaliwa huko Facebook. Hii tunaiitaje??

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Akiiona mwenzi wake wa sasa? Au hampendi?

Akiiona mchumba wangu? Au ananiharibia?

Hiii imekaaje na tunaiitaje?
 
ila it's best mkiachana na mtu mkate mawasiliano ILI KUEPUSHA MASWALI
Ndiyo maana namshangaa, kwann yeye anani-wish? Tena anakuwa mtu wa kwanza kwenye timeline yangu kufanya hivo
 
Ex akikuwish tafsiri yake anataka kubaribu/anakutaka?

Hebu move on
Wapo watu hawana hizo mambo za kuweka vitu rohoni hasa akimpata anayemfaa kuliko alivyokuwa kwako
 
Back
Top Bottom