Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ila nayo yataka moyo kumfata mtu kila anakokwenda jamani!!
Sahivi maskini kabaki tu kupost matangazo ya biashara ha ha ha ha kweli mjini patamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila nayo yataka moyo kumfata mtu kila anakokwenda jamani!!
nashangaa mondi hajamataja romy kwenye nyimbo mpya jamani
Litumbuliwe sasa mkuu au halijaivaHilo jipu hapo
Linasubiri kutumbuliwa
bifu au beef??
We unaona sawa kumsaidia harmonize na kumtelekeza rommy jons hizo akili na hapa ndo nathibitisha kuwa yule domo ni drugs dealerSahivi maskini kabaki tu kupost matangazo ya biashara ha ha ha ha kweli mjini patamu
We unaona sawa kula bata na zari baba yake anateseka na harmonize naye ni zungu la unga na wale dancers na lazma asafiri na yeye romy dj lazma na yeye asafiri sasa tatizo liko wapi ??Sahivi maskini kabaki tu kupost matangazo ya biashara ha ha ha ha kweli mjini patamu
Sahivi maskini kabaki tu kupost matangazo ya biashara ha ha ha ha kweli mjini patamu
Nani kakwambia Rommy katelekezwa? Acheni uchonganishi! Kama una ushahidi ana uza madawa weka hapa ushahidi..We unaona sawa kumsaidia harmonize na kumtelekeza rommy jons hizo akili na hapa ndo nathibitisha kuwa yule domo ni drugs dealer
Teh Teh....duh mwishowe mtaanza kumshauri jinsi ya kutafuna karanga kwa kutumia jino moja
duh mwishowe mtaanza kumshauri jinsi ya kutafuna karanga kwa kutumia jino moja
We unaona sawa kumsaidia harmonize na kumtelekeza rommy jons hizo akili na hapa ndo nathibitisha kuwa yule domo ni drugs dealer
We unaona sawa kula bata na zari baba yake anateseka na harmonize naye ni zungu la unga na wale dancers na lazma asafiri na yeye romy dj lazma na yeye asafiri sasa tatizo liko wapi ??
Rommy ndio bye bye huwezi amini hata kula yake imeanza kua ya shida sielewi kwanini alikua hata hana saving mungu atunusuru ....kuna mambo mengi mnoooo ila siwezi yasema hapa soon yatatokaNani kakwambia Rommy katelekezwa? Acheni uchonganishi! Kama una ushahidi ana uza madawa weka hapa ushahidi..
Sio kweli unapoteza muda kuwachonganisha ndugu.Rommy ndio bye bye huwezi amini hata kula yake imeanza kua ya shida sielewi kwanini alikua hata hana saving mungu atunusuru ....kuna mambo mengi mnoooo ila siwezi yasema hapa soon yatatoka