Exclusive: Bifu zito kati ya Diamond na Rommy Jones

Sahivi maskini kabaki tu kupost matangazo ya biashara ha ha ha ha kweli mjini patamu
We unaona sawa kumsaidia harmonize na kumtelekeza rommy jons hizo akili na hapa ndo nathibitisha kuwa yule domo ni drugs dealer
 
We unaona sawa kula bata na zari baba yake anateseka na harmonize naye ni zungu la unga na wale dancers na lazma asafiri na yeye romy dj lazma na yeye asafiri sasa tatizo liko wapi ??
 
Nani kakwambia Rommy katelekezwa? Acheni uchonganishi! Kama una ushahidi ana uza madawa weka hapa ushahidi..
 
Sasa we unaona sawa mwanaume kulelewa lelewa hadi boxa ununuliwe na nduguyo, najua we unaona kawaida make hata mshkaji wako kiba bado analelewa home mara alelewe kwa kidoti.... Sioni shida atalelewa na diamond hadi lini kwani ye ni tiffah
 
We unaona sawa kula bata na zari baba yake anateseka na harmonize naye ni zungu la unga na wale dancers na lazma asafiri na yeye romy dj lazma na yeye asafiri sasa tatizo liko wapi ??

Hayo ya kula Bata ni maamuzi yake kama baba alivoamua kula Bata enzi hizo akawatelekeza na mama ake
 
Nilichosikia ni mambo ya kishirikina kua romy nyota yake imeshaisha so akiendelea kufuatana nae ni hatari so wamemuondoa kiaina na mama ndio alimwita kumwambia...siwezi mtaja alosema hayo ila mtakuja yasikia mda utafika tu
 
Nani kakwambia Rommy katelekezwa? Acheni uchonganishi! Kama una ushahidi ana uza madawa weka hapa ushahidi..
Rommy ndio bye bye huwezi amini hata kula yake imeanza kua ya shida sielewi kwanini alikua hata hana saving mungu atunusuru ....kuna mambo mengi mnoooo ila siwezi yasema hapa soon yatatoka
 
Sio kweli unapoteza muda kuwachonganisha ndugu.
 
Back
Top Bottom