kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Aisee unoko ukizid ndiyoo balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee mwenzetu ulisoma shule ya Tapa, mbona unachanganya herufi kubwa na ndogo kama mchele wenye chuya! Jina la ukoo wa marehemu ni Juzi? Yaani Hassan Mohammad Juzi.Naomba kabla ya yote nianze kwa Kutoa Shukran kwa Mmoja wa Wanafunzi wa Shule ya Kiislamu ya QIBLATEIN Kawe ( ambaye kwa Kumlinda namhifadhi Jina ) ambaye alishuhudia Tukio zima la Mwanafunzi Mwenzao ( anayeshikiliwa na Polisi sasa ) aitwae Mohammed Jabir Kumuua Mwalimu ( Patron ) Marehemu Hassan Mohammed Juzi.
Ili kupata kile ambacho nilikuwa nakitaka hasa katika hili Tukio ilinilazimu GENTAMYCINE kutulia sana, kutumia Saikolojia yangu Kali na Mbinu zangu za Uandishi wa Habari ( wa Uchunguzi na Uibuaji ) wa Masuala ili nijue Ukweli na Sisi kama Wadau na Wazazi tuwe na sehemu ya kuanzia Kulijadili ili liwe Fundisho na pia lisije Kujirudia tena.
Vile vile nichukue nafasi hii kutoa Pole yangu kwa Familia ya Marehemu Mwalimu ( Patron ) Bwana Hassan Mohammed na nawaombea kwa Mwenyezi Mungu awape Nguvu na Uvumilivu hasa katika Kipindi hiki Kigumu mnachopitia.
Hivyo hivyo nimpe Pole Kijana ( Mshukiwa wa Mauaji ) Mohammed Jabir na hasa hasa Wazazi wake kwani najua Kisaikolojia kwa sasa wanapitia Kipindi Kigumu mno ila kwa Kudra zake Allah ( Mwenyezi Mungu ) yote haya yataisha.
OMBI
Tafadhali Jeshi la Polisi naomba Mahojiano yangu na Mmoja wa Mwanafunzi aliyeshuhudia hilo Tukio yasiwe ndiyo Hitimisho la Uchunguzi wenu juu ya hili Sakata bali tumieni haya Majibu mtakayoyapqta hapa katika Kuwasaidia Upelelezi wenu juu ya Mtuhumiwa dhidi ya Marehemu lakini pia hata Hakimu wa hii nina uhakika majibu ya huyu Mwanafunzi Shuhuda wa Tukio zima yatakusaidia katika taratibu zako za kutoa Hukumu Stahiki kwa Mtuhumiwa.
GENTAMYCINE: Kijana hujambo?
Mwanafunzi Shuhuda: Sijambo Baba Shikamoo
GENTAMIYCINE: Marahaba. Poleni kwa Msiba wa Mwalimu na kwa Mwenzenu Kukamatwa na Polisi
Mwanafunzi Shuhuda: Asante Baba ila kama Wanafunzi tumesikitika kumpoteza Mwalimu na kwa Mwenzetu sasa kuwa hatiani
GENTAMYCINE: Je, Shuleni Kwenu hapa kuna Ulinzi wa kutosha na Wanafunzi mnadhibitiwa inavyostahili?
Mwanafunzi Shuhuda: Baba kiukweli hapa tuna Mlinzi Mmoja tu na kuna nyakati huwa anasinzia na Sisi Wanafunzi tunaruka ukuta kwenda Mtaani na kuna hata sehemu ya Ukuta wa Shule kuna Tobo na baadhi ya Senyenge zimekatwa ambapo huwa tunapenya.
GENTAMIYCINE: Kwakuwa hii Shule yenu ni ya Bweni je, huwa mnafanyiwa Rokoo hasa nyakati za Usiku ili kujua kama nyote mpo au hampo?
Mwanafunzi Shuhuda: Ni kama tu hakuna kwani tunafanyiwa mara moja moja mno na sishangai ndiyo maana hata baadhi yetu wale Wajanja Wajanja huweza Kutoroka Usiku kwenda Kubeti barabarani na kurejea.
GENTAMYCINE: Natamani kujua aina ya Elimu mnayopewa hapa ili na Mimi Siku Moja nishawishike Kumleta Mwanangu asome hapa.
Mwanafunzi Shuhuda: Kwani Baba na Wewe ni Muislamu?
GENTAMYCINE: Ndiyo ( nikamdanganya Jina kuwa naitwa Ramadhan Shaaban ) na akafurahi na Kuniamini wakati Mimi ni Mkristo halisi tena wa Dhehebu tukuka la Katoliki.
Mwanafunzi Shuhuda: Ukweli ni kwamba huwa tunapewa Elimu hii ya Darasani kisha na ile ya Dini yetu ya Kiislamu ila kuna muda huwa tunapewa Mazoezi ya Kuwa Fiti na Kujilinda dhidi ya wale wanaocheza au wanaoitusi Imani yetu.
GENTAMYCINE: Je, kama Shule na hata nyie Wanafunzi wa Shule yenu mna Mahusiano mazuri na Majirani au Watu wanaowazunguka?
Mwanafunzi Shuhuda: Baba kiukweli Wanafunzi wa Shule yetu hatutskiwi kabisa Kujichanganya na Watu mitaani, kusema Mambo yetu na hata Watu wa Kawaida hawaruhusiwi kuingia Shuleni labda wawe na ruhusa Maalum na kiukweli Sisi kama Wanafunzi tumeshazoea kuwa mbali na Jamii inayotuzunguka pale.
GENTAMIYCINE: Unamjua vyema Mwanafunzi Mwenzako Mohammed Jabir?
Mwanafunzi Shuhuda: Namjua vyema na ni Rafiki yangu pia.
GENTAMIYCINE: Nasikia ni Mwanafunzi Mkorofi na hana Adabu halafu ameshanusurika Kusimamishwa Shule zaidi ya mara Mbili ( hapa nilikuwa Namtega )
Mwanafunzi Shuhuda: Baba nakuomba Jumatatu njoo pale Shuleni ulizia tu Mwanafunzi yoyote juu ya tabia ya Mohammed Jabir utaamini.
Hakuna Mwanafunzi mpole, msikivu na mwenye Nidhamu pale Shuleni kama Yeye na hata Walimu huwa wanamsifu kwa hilo.
GENTAMIYCINE: Hongera nimeambiwa kuwa Marehemu Mwalimu ( Patron ) wenu Hassan Mohammed alikuwa akikupenda kuliko Wanafunzi wengine wote pale Shuleni ( nimemuuliza kwa Kumtega )
Mwanafunzi Shuhuda: Aiyekuambia hivyo Kakudanganya kwani hakuna Mwalimu nisiyempenda na asiyependwa na Wanafunzi pale Shuleni kama Yeye ( Marehemu )
GENTAMYCINE: Kwanini?
Mwanafunzi Shuhuda: Ni mbabe, mkatili, muonevu na kuna muda alikuwa hata akitudhulumu Vitu vyetu Wanafunzi akisema havitakiwi Shuleni na kubaki navyo Yeye na ukimhoji anaishia ama Kukupiga au Kukuchukia kabisa.
GENTAMYCINE: Siyo kwamba na nyie Wanafunzi ni Jeuri na Viburi hivyo alikuwa akiwanyoosha?
Mwanafunzi Shuhuda: Sikatai Baba wapo baadhi ya Wanafunzi Wenzetu pale japo ni Shule ya Kidini ila ni Wakorofi, Wahuni na hadi Bangi wanavuta.
GENTAMYCINE: Nasikia ili Kujilinda pale Shuleni Kwenu Wanafunzi mnaruhusiwa kuingia au kuwa na Silaha kama Kisu na Panga je, ni kweli? ( nikiwa Namtega tena )
Mwanafunzi Shuhuda: Si kweli Baba haturuhusiwi kamwe kuingia na Kisu wala Panga ila wapo Wenzetu baadhi huingia na Visu kwa kuvipitisha katika Chocho za Ukutani na hutumia kwa Kumenyea Matunda hasa nyakati za Usiku ila kuna wale Wacheza Karate hupenda Kuvitumia kama sehemu yao ya Mazoezi lakini wengine huvificha chini ya Magodoro kwa ajili ya Kupambana na Maadui ( Vibaka na Wezi ) anbao kuna nyakati hasa Kipindi cha Mgawo wa Umeme walituvamia sana hapa kwa kupitia kule Ukutani na Kutuibia hadi na Kutupiga pia.
GENTAMYCINE: Umesema uliona tukio la Mwalimu ( Patron ) wenu Hassan Mohammed dhidi ya Mwanafunzi Mwenzako Mohammed Jabir sasa nakuomba hapa unionyeshe kwamba kweli Wewe ni Muislamu Safi Mwenzangu huna Unafiki, Hudanganyi na humuonei Mtu kwa utachonielezea sawa Mwanangu Mpendwa?
Mwanafunzi Shuhuda: Sawa Baba. Ukweli ni kwamba mida ya Saa 11 za Alfajiri alikuja Patron ( Mwalimu ) kutuamsha kwa ajili ya kwenda Kuswali.
Alipokuja kutuamsha ( kama kawaida yake ) wengi tuliamka na kuanza Kujiandaa kwenda Kuswali ila Mwenzetu Mohammed Jabir aliendelea Kulala isivyo kawaida yake.
Wakati wengi wetu tumeshatoka Bwenini ghafla tukamuona Patron ( Mwalimu ) amerejea Bwenini na Kumkuta Mohammed Jabir akiwa amelala ndipo Mwalimu akapandwa na Hasira na kuanza Kumvuta Mohammed Jabir kutoka Kitandani huku akimpiga, akimtukana na Kumkandamiza kwa chini Shingoni na Mguu wake Hali iliyomfanya alipomuachia Mohammed Jabir alipandwa na Hasira Kali na kwenda Kuinua Kitanda cha Mmoja wa Mwanafunzi anayemjua kuwa na Kisu na kuja nacho Kumshambulia Patron ( Mwalimu ) na muda mfupi tukaona Mwalimu Kaanguka nasi kuingiwa na Uwoga na kuwahi Kumuita Mlinzi ( huku Mohammed Jabir akiwa kama Mtu aliyechanganyikiwa ) ndiyo baada ya muda Mwalimu ( Patron ) akapakiwa katika Gari kukimbizwa Hospitali ambapo baadae tukaambiwa kuwa Amefariki dunia.
GENTAMIYCINE: Je, Mohammed Jabir alifanya hili Tukio peke yake au labda kulikuwa na Mtu Mwingine?
Mwanafunzi Shuhuda: Kiukweli alikuwa Mwenyewe ila kulikuwa na Mwanafunzi Mwingine simkumbuki Jina alikuwa akifurahia Mwalimu ( Patron ) Kupigwa kwakuwa alikuwa na Kisa nae ( Kisichojulikana ) na alikuwa akimwambia Mohammed Jabir kutokea dirishani kwa nje alikokuwa kuwa amdedishe ( amuue ) na Yeye ataleta Kiroba ili wamtupie humo.
GENTAMYCINE: Duh.... hatari sana. Naona mida yetu ya Kuswali imefika naomba nikuache nikajiandae nitakutafuta Jioni ili unipe Ratiba ya Mazishi ya Mwalimu ( Patron )
Mwanafunzi Shuhuda: Sawa Baba hakuna shida nami najiandaa kwenda Kuswali Msikiti jirani hapa wa Londa.
Haya ndiyo yalkuwa Mahojiano yangu yangu na Mwanafunzi Shuhuda juu ya Tukio hivyo naomba sasa GENTAMYCINE niwaachieni nyie Wajuvi na Wataalam muweze Kulijadili kwa kina.
Rubbish.Wee mwenzetu ulisoma shule ya Tapa, mbona unachanganya herufi kubwa na ndogo kama mchele wenye chuya! Jina la ukoo wa marehemu ni Juzi? Yaani Hassan Mohammad Juzi.
Tatizo lako ni ujuaji uliokithiri, hata misiba ya watu unajichomeka udugu kutegemea urithi.Rubbish.
Wewe unaonaje?Na umethibitisha yaliyoandikwa hapa ndio ukweli wenyewe??
Huyo mwalimu ni wa private na miaka 21 nadhan ni wa madrasa tu na nidhamu za hapo kwe io shuke ya kidini. Na mbali zaidi usiamini huu uzi kwa asilimia 50Ameua bila kukusudia.Waalimu hata kama mna matatizo ya maisha hasira mmetoka nazo nyumbani msipende kuwatolea wanafunzi.Binadamu wanatofautiana,ona sasa kitu ambacho ingekuwa cha kumuuliza tu mwanafunzi kwa nini umelala hadi sasa huenda anaumwa wewe unamvamia tupa chini kandamiza shingo what for?Simtetei mwanafunzi ila mwalimu alipata alichokuwa anakitafuta.Walimu jifunzeni kuwa na UTU!
Patron mtoto anapewa kusimamia watoto! Hakuwa hata na uwezo wa kutafakari kwa nini yule mtoto hakuamka kwenda swali.Genta Hongera kwa uchunguzi na nadhani Police watatumia bandiko hili kumsaidia huyu kijana maana alikua akijilinda.....
Huyu mwalimu ndio inaonekana ana shida..na walimu kama hawa wanatesa watoto wetu sana..kuna mmoja alikua anapiga watoto shule moja kule moshi na mikanda migongoni
Nilideal nae mpaka alihama na shule....
Msaidieni huyo kijana!
Wewe umezuiwa Kuileta? Pumbavu.Mbona story ya shule ya katoliki mbeya aliyobakwa ester hujatuletea?
Naomba kabla ya yote nianze kwa Kutoa Shukran kwa Mmoja wa Wanafunzi wa Shule ya Kiislamu ya QIBLATEIN Kawe ( ambaye kwa Kumlinda namhifadhi Jina ) ambaye alishuhudia Tukio zima la Mwanafunzi Mwenzao ( anayeshikiliwa na Polisi sasa ) aitwae Mohammed Jabir Kumuua Mwalimu ( Patron ) Marehemu Hassan Mohammed Juzi.