Exclusive: Developing Story ya Mwanafunzi aliyeua Mwalimu ( Patron ) Shule ya Kiislamu ya QIBLATEIN Kawe

Wee mwenzetu ulisoma shule ya Tapa, mbona unachanganya herufi kubwa na ndogo kama mchele wenye chuya! Jina la ukoo wa marehemu ni Juzi? Yaani Hassan Mohammad Juzi.
 
Huyo mwalimu ni wa private na miaka 21 nadhan ni wa madrasa tu na nidhamu za hapo kwe io shuke ya kidini. Na mbali zaidi usiamini huu uzi kwa asilimia 50
 
Patron mtoto anapewa kusimamia watoto! Hakuwa hata na uwezo wa kutafakari kwa nini yule mtoto hakuamka kwenda swali.
 
Mbona story ya shule ya katoliki mbeya aliyobakwa ester hujatuletea?
 

Mtoa mada ndio mtanzania pekee ambae amefika kawe bila kufika dar.

Anasimuliwa story na ndugu yake anae ishi dar halafu anakuja hapa kuisimulia kama yeye ndio ameshuhudia.

You need a very serious medical attention.
 
Jamaa kaleta Upembuzi mzuri mnaleta nyodo?hamjalazimishwa kuusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…