Exclusive. Hatimaye Yusuph Manji amerejea rasmi Yanga na amemsajili Ibrahim Ajib

Na chan'gombe mchicha hapa Bakwata nayo ilipoa pia
 
Sio kosa lake majukumu ya kuoa nayo ni sheeda usipo kuwa makini unapotea. Siku za mwishoni baada ya ndoa alishaanza kushuka kiwango, tuliocheza mpira tunajua madhara ya kukumbatia zaid.
Kama anaenda bwawani fc aongeze bidii arudi kiwango
 
Angebaki bench lingemuhusu huyu..!!sio kwa straika hyu anaekuja kutoka ghana,jtatu anatambulishwa rasmi..hongera ajib kwa kuwa na machale!!

Kwani Ajibu ni striker...?

Kama ni striker amewahi kuifungia Simba zaidi ya bao 10 kwa msimu ?
 
Kwa beki ya kapombe,kotei,Mohammed, na juuko hizo auta atazipiga mazoezini
Hahaha Outer hazipiti chini Mkuu, zinapita juu ya vimo vya mabeki wako hao wafupi wafupi ulio wataja....

[emoji23] Jiandaeni na msimu mpya wa maigizo .
 
Yanga anacheza namba nane...Ajibu sio striker ..ule udambwi udambwi ..nanunua ticket za msimu
. Umesema jambo la maana sana mkuu!

Hilo suala la tiketi za msimu mzima ni jambo muhimu...sio kwa mseto ule eneo la kiungo..

Kama nawaona wakibwabwaja machozi moyon moyon.
 
Kipombe tulimpeleka france akashindwa boco ni mtu mzima manura atatoka kupitia simba sc nguvu moja
mnajua kuwa njia pekee ya kuwavutia wachezaji kuchezea timu yenu ni kuwaahidi kuwa wataunganishwa ULAYA...

Ajibu kaugundua huo mchezo, yeye amesema anataka MATAJI tu...kama kucheza ULAYA amepangiwa atacheza.
 
Asahau soka la nje ya nchi,kamwe Yanga hawawezi kumuuza
Yanga ilimfanya Nonda Shabani acheze ULAYA...

Simba ilimfanya Samatta acheze ULAYA.......

Ni nani mwingine zaidi ya Samatta ambaye ametoka nje kisoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…