demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
hahahaah itakuwa kama yaliyomkuta singano ramadhani
Vipi kuhusu yaliyomkuta ...
1. YONDANI
2. TAMBWE
3. KESSY
?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaah itakuwa kama yaliyomkuta singano ramadhani
Na chan'gombe mchicha hapa Bakwata nayo ilipoa piaKila mtu anayefahamu tabia za Manji alikuwa na uhakika kuwa Manji hakujiuzulu bali alikuwa akipima upepo. Manji pale Yanga ni kifichoni na kamwe hatoki japo kiuchumi ametetereka lakini hali ingekuwa mbaya zaidi akiwa nje ya Yanga. Kumbuka Manji alijiingiza Yanga wakati akiwa katikati ya shutuma nyingi kuhusiana na NPF na jengo la Plaza. Na kweli alipojiingiza shutuma zilipoa.
Ameaoma ramani...Wenzake wanasonga mbele kwenda mazembe na mbele yeye anaenda dimbwini.
Fafanua mkuu na sisi wa huku Mikwambe tuelewe.Ndio maana mpira wa Tanzania haufiki mbali
Nafasi ya Ajibu inazibwa na nani pale?[emoji16][emoji23][emoji23]aende salama. Sisi tunatoa kitu tunaweka kitu
Ewaaaa. Huo ndio ukweliAjib amenunua tiketi ya ndege ya kudumu. Hongera sana Ajib, achana na kazi za sokoni njoo sokani upige soka
Cc TAMBWE, YONDANI & KESSY...[emoji23][emoji23]Pole ajibu CC:juma mahadhi........Malimi Busungu.
Kuna wengine wanajifanya hawamjui, eti Ajibu amezeeka ni bora aende Yanga.[emoji23]Nani asiyemjua Ibrahim Ajib Migomba a.k.a Miguu ya Dhahabu
0riginal wenyewe wamekuwa FEKI kwa local League kwa miaka 5 hivi sasa..Akaaa. Hiyo original ni yenu
Msuva.Nafasi ya Ajibu inazibwa na nani pale?
Angebaki bench lingemuhusu huyu..!!sio kwa straika hyu anaekuja kutoka ghana,jtatu anatambulishwa rasmi..hongera ajib kwa kuwa na machale!!
Hawa ni wazee wa kuhamasisha migomo ya wachezaji.Aende akacheze huko bado mkude aende tu dead players!
Hahaha Outer hazipiti chini Mkuu, zinapita juu ya vimo vya mabeki wako hao wafupi wafupi ulio wataja....Kwa beki ya kapombe,kotei,Mohammed, na juuko hizo auta atazipiga mazoezini
Kwahiyo Ajibu amezeeka, Bocco ni kinda!.... [emoji51] [emoji51] hatariiKuna wengine wanajifanya hawamjui, eti Ajibu amezeeka ni bora aende Yanga.[emoji23]
. Umesema jambo la maana sana mkuu!Yanga anacheza namba nane...Ajibu sio striker ..ule udambwi udambwi ..nanunua ticket za msimu
mnajua kuwa njia pekee ya kuwavutia wachezaji kuchezea timu yenu ni kuwaahidi kuwa wataunganishwa ULAYA...Kipombe tulimpeleka france akashindwa boco ni mtu mzima manura atatoka kupitia simba sc nguvu moja
Hakuna mchezaji aliyejiunga Yanga akitokea Simba akawaacha Simba salama....Huyu atawanyoosha km a avyowanyoosha tambwe
Yanga ilimfanya Nonda Shabani acheze ULAYA...Asahau soka la nje ya nchi,kamwe Yanga hawawezi kumuuza