Kitu ninacho kiona ni kwamba huyo dada ametumika ili kum-trap huyo jamaa, iwe kwa kujua au bila kujuanimesoma Leo dada yake marehemu huyo bint miaka 21 alisema caro alimuambia anatoka out ma msando kwenda kunywa na wanajua yeye na msando walikuwa mahawara ingia daily nation.Co.ke
Taarifa ni kwamba kutokana na jina lake, kabla ya kuolewa wadhifa wake, walidhani ni mkikuyu. Baadaye ikagundulika ni mluo na si mkikuyu. Inasemekana ana undugu na mbunge wa Kisumu.Uyo Musando ni kabila gani uko KE? Kwa anaejua
Si mchagga ni mpare.Yule nasikia ni mchaga
Huenda alishatubu lakini dhambi ya baba anaweza akaja kuitumikia mtoto unahabariKuna watu wengi tu wameua kwa risasi lkn wakaja kufa kwa malaria. Sheria ifuate mkondo wake.
Sometime mbwembe zinakuua
Kitu ninacho kiona ni kwamba huyo dada ametumika ili kum-trap huyo jamaa, iwe kwa kujua au bila kujua
MjaluoUyo Musando ni kabila gani uko KE? Kwa anaejua
Unamaswali ya kitoto hujui hata intelligenceMaelezo ya huyo mwanamke nani aliyatoa na kufanikisha kuandika? Kama Watu wamezuiliwa ni nani ameona kwamba kidole kimekatwa! Nani anajua kuwa huyo mwanamke alikuwa msiri wake??
Biometric finger prints sasa tu jiulize kiganja kile kita-swap na ku-access election management system bila ya blood circulation?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameshamsahau Ben Sanaane.Watanzania mnawashwa na siasa za majirani wakati nyumbani tabu tupu, pambaneni na hali zenu kwanza kabla hamjaanza kuwanyooshea wengine vidole
Sent using Jamii Forums mobile app