Exclusive: Haya Ndiyo Matukio Makubwa Yaliyopelekea Mauaji Ya Bosi Wa Iebc Musando Huko Kenya

Exclusive: Haya Ndiyo Matukio Makubwa Yaliyopelekea Mauaji Ya Bosi Wa Iebc Musando Huko Kenya

Uyo Musando ni kabila gani uko KE? Kwa anaejua
Taarifa ni kwamba kutokana na jina lake, kabla ya kuolewa wadhifa wake, walidhani ni mkikuyu. Baadaye ikagundulika ni mluo na si mkikuyu. Inasemekana ana undugu na mbunge wa Kisumu.
 
Sometime mbwembe zinakuua

Kinacho nishangaza zaidi Musando ni mzaliwa wa Kenya na anaelewa vilivyo siasa za huko kwao i.e wizi wa kura - leo hii Musando inajitoa ufahamu na kuanza kutamba eti "hakuna anayeweza kudakuwa/hack voting system anayo isimamia yeye!!" anajitafutia kifo hivi hivi bila ya kujitambua - kulikuwa na ulazima gani kwa yeye kuweka tambo zake adhalani?

Hivi Musando alikuwa hajui kwamba kuna watu ambao wamejipanga kuvuruga kura, hivyo wangemtafuta kwa udi na uvumba kuhakikisha wana mulazimisha/tesa mpaka anawatajia user name ya kwake na pass word vyenye kuwa grant privilege za kumuruhusu hacker aweke dummy programmes kwenye system za upigaji kura ili zipendelee mgombea mmoja wanaye mlenga bila kujali idadi ya kura zilizo pigwa, wanahakikisha GAP inabaki ile ile, michezo ya uchaguzi uliopita itajirudia kama kawa.
 
Biometric finger prints sasa tu jiulize kiganja kile kita-swap na ku-access election management system bila ya blood circulation?

Sent using Jamii Forums mobile app

sidhani kama circulation ya damu inahusika.

my experience kutoka move ya 24 HOURS Jack bouer alikata kidole cha mtu ili kkitumia kupata access.
that is just my thinking
 
Back
Top Bottom