Jembemtaji
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 1,193
- 926
Acha unafiki ya hapa kwetu rufiji ni madogo au yanautu?Tunaweza tusiwe na uhakika lakini haina shaka kifo cha huyu bwana kilipangwa. Wakenya wakitafuta uongozi UTU huwaondoka kabisaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli ni kwamba Msando alikuwa anao upande hata maongezi yake yalionesha... unaposema kuwa mfumo huu hautoweza kuingiliwa kama ule wa mwanzo maana yake umesha watuhumu tena walio madarakani kuwa walihusika kucheza na mfumo husika na ukaendelea mbele na kusema ili waweze kucheza nao labda wakukate kiganja... hahahaha hakika matamshi yake kamwe hata angekuwa nchi gani kamwe asingeliweza kubaki salama....mimi nilihoji sana uhalali wa tambo zake zote zile na kulikuwa haja gani?Huyu ukimuangalia alikuwa ana watumia massage watu fulani.Uko sahihi 100% kuwa Marehemu Msando hiki ' Kifo ' amekitafuta mwenyewe kwani hakuna ' System ' yoyote ile duniani itakayokuacha salama kama ukifanya mambo aliyofanya Yeye. Na sijui alijiamini nini hadi akawa anajiaminisha vile alivyowaaminisha Wakenya. Katika nchi ambazo Mfanyakazi yoyote wa Tume ya Uchaguzi huwa ana 99% za ' Kuuwawa ' Kimafia kama akileta ' fyoko fyoko ' ni za Afrika ( japo sijui kama na Tanzania hapa Kwetu tabia hii ipo Wahenga mtanisaidia hapa )
Hata upande wa pili pia wako tayari kufanya chochote ili kiu yao ya miaka kadhaa tangu enzi za Mwai Kibaki ya kuingia Ikulu itimie. Kwa kifupi siasa ni ka ugonjwa kabaya sana usiombe kakuingie.... Usimuamini mwanasiasa yyt, utakuwa disappointed. Uchunguzi pekee ndio unaweza kutoa majibu 'kama utafanyika kwa uwazi na haki'.Uhuru na Ruto wako tayari kuuwa ili wabaki ikulu
Lakini kama uliangalia ile interview utagundua kabisa alikuwa kama ana lazimisha kuuwawa...Kuna mambo mengi aliongea sikuona kama kulikuwa kuna sababu za msingi sana.....Mimi naamini hata kuuwawa kwakwe kuna weza kuwa ushahidi kuwa hata yeye alikuwa haaminiki na pande zote....Kumbuka watu hawakuwa na imani na mfumo huo kwa kurejea historia ya uchaguzi uliopita ambapo mfumo uli feli na kusababishwa manual system kutumika. Hivyo kulikuwa na haja kubwa yeye kusema hivyo ili kuuaminisha umma kuwa safari hii mfumo uko vizuri, hakuwa na kosa lolote.
Lakini kama uliangalia ile interview utagundua kabisa alikuwa kama ana lazimisha kuuwawa...Kuna mambo mengi aliongea sikuona kama kulikuwa kuna sababu za msingi sana.....Mimi naamini hata kuuwawa kwakwe kuna weza kuwa ushahidi kuwa hata yeye alikuwa haaminiki na pande zote....
Ndio maana nimejaribu kuwambia kuwa hata NASA wanaweza fanya hivyo kuuaminisha Umma kuwa kura zinaibiwa au ulikuwepo mpango na Msando akagoma wakamuua ....halafu ni hawa NASA walikuwa wa kwanza kusema kuna mpango wakuibiwa kura na haijakaa siku nyingi muendesha mitambo mkuu ameuwawa kwanini tusisema NASA walisuka mipango ya kumuua ili kuhalalisha hoja zao za kuibiwa kura?Hata upande wa pili pia wako tayari kufanya chochote ili kiu yao ya miaka kadhaa tangu enzi za Mwai Kibaki ya kuingia Ikulu itimie. Kwa kifupi siasa ni ka ugonjwa kabaya sana usiombe kakuingie.... Usimuamini mwanasiasa yyt, utakuwa disappointed. Uchunguzi pekee ndio unaweza kutoa majibu 'kama utafanyika kwa uwazi na haki'.
Hii ni taaluma, na mlet mada kaongea kitaalamu, sasa kama kuna kilichokukwaza hiyo haimuhusu maana maswali yako ya kishabiki hata wewe unaweza kuyajibu.Maelezo ya huyo mwanamke nani aliyatoa na kufanikisha kuandika? Kama Watu wamezuiliwa ni nani ameona kwamba kidole kimekatwa! Nani anajua kuwa huyo mwanamke alikuwa msiri wake??
Hii ni taaluma, na mlet mada kaongea kitaalamu, sasa kama kuna kilichokukwaza hiyo haimuhusu maana maswali yako ya kishabiki hata wewe unaweza kuyajibu.Maelezo ya huyo mwanamke nani aliyatoa na kufanikisha kuandika? Kama Watu wamezuiliwa ni nani ameona kwamba kidole kimekatwa! Nani anajua kuwa huyo mwanamke alikuwa msiri wake??
Madaraka ni kama madawa ya kulevya mtu akishakua addicted nayo atafany kila njia ayapate hata kwa kuua achilia mbali kuibaMkuu GENTAMYCINE huwa nakusomaga na kukufuatilia lakini leo umenigusa sana.
Hivi madaraka ya kisiasa yana nini ndani yake mpaka watu wanaoshinda kwenye nyumba za Ibada na kula viapo hadharani wafanye yote haya!? Kama week mbili zilizopita nilifuatilia mazishi ya waziri wa zamani Mzee Biwott na kujifunza kitu.
Huyu alikuwa kwenye tume gani ? Au alikuwa na password ya nini !?Nimemkumbuka ghafla Ben Saanane.