EXCLUSIVE: How Nairobi BRT buses look!

EXCLUSIVE: How Nairobi BRT buses look!

Nairobi can easily implement an efficient mass rapid transit system including commuter trains leave alone BRT,as a matter of fact nairobi has an established commuter rail,we just need to refurbish it and procure DMUs.....but that is not happening,both county and national government are reluctant.....the big question is why....here is the thing...matatu industry is very tricky economics in nairobi...its a multi-billion industry generating massive income and revenue to many....nairobi county alone collects billions of shillings in revenue from the matatus on a daily basis....implement efficient public transport thats gone...i don't think sonko is willing to let go....secondly the sectors employs a lot of youth who would otherwise be unemployed....thousands of youths get their income daily from this industry..they have families and dependents....your average 14 seater driver earns about $200 daily....then you have the tout(makanga) earning about $150...remember this a 14 seater matatu..enter the big matatus and the wages increase....then there are those touts who hang around bus ranks/stages their job is to call on passengers,they earn about $0.5 per vehicle at the end of the day,they take home around $100.there are hundreds of them....you can see the economics,its an established industry supporting a lot of households..it does not end there,there are saccos organised by matatu owners,they very organised and efficient,through their daily returns from the matatus they have been able harmonise their returns and re-invent their revenues in utilities around the transport industries i.e petrol stations,lodges etc...they are very powerful and have morphed to some sort of cartel,rarely anything happens to the sector without their approval....so my friends as you can see,kenya is not a one man show...any projects being implemented in kenya has to be approved by all stakeholders,thats why public participation in any project is in our constitution.
😲$200 per day? That's kshs 20000. ..600000 per month. I should become a driver too & become east Africa youngest billionaire.
 
Mimi huwa ninafuatilia sana siasa za Kenya, kweli kabisa unayosema, very complex and unpredictable.

Ila kuna jambo moja ninaomba sana kama una any information uniambie, Galana Kulalu project, huu mradi umefikia wapi?, kwangu Mimi huu mradi ni muhimu sana kwa Kenya kuliko miradi yote inayotekelezwa na serikali ya Kenya kwa sasa.
Ni kweli huu mradi ni muhimu sana kwa uchumi wa Kenya. Mradi huu ulikufa kifo cha mende miaka miwili iliyopita. Haiko kwa budget tena. Bilioni kumi iliyotengewa mradi ulipotea hivyo tu maana kampuni ya Izraeli iliyopewa tenda ilifanya kazi kidogo chini ya asilimia ishirini kisha mradi ukakwama. Kwa kawaida hapa Kenya mradi ukikwama, serikali huwa haielezi Wakenya mbona mradi umekwama na wanafanya nini kuukwamua. Serikali wananyamaza kana kwamba hakuna jambo limetendeka. Wakenya wenyewe pia wananyamaza wanajifanya hawajui kuwa kuna mradi umekwama.
Serikali ya Kenya ina ukatili na ufisadi kwa sababu Wakenya ni wapole kwa serikali yao na wanaiogopa mno. Wabunge wameongeza mishahara yao na Wakenya wataongea lakini hawatafanya lolote. Anglo-leasing, Goldenberg, na scandals zaidi ya hamsini zimetokea nchini Kenya kwa miaka ishirini na tano iliyopita, kila scandal ikiwa ya zaidi ya shilingi milioni mia moja na nyingine kama Goldenberg ikiwa ya zaidi ya bilioni thelathini lakini hamna mtu hata mmoja mkubwa serikalini aliyefungwa kwa sababu ya ufisadi. Watu wadogo ndio wanafungwa, ukiiba kuku utafungwa. Wakenya wananyamaza ishara kwamba aidha wanaiogopa serikali au wanafurahia ufisadi unaoendelea huku. Watu wakiandamana wanakamatwa na kufungwa jela au wanapigwa kama mbuzi au kondoo, kwa hivyo inakuwa ni busara kwa Wakenya wengi kuendelea kuishi maisha yao bila kusumbua serikali. Galana Kulalu isahau, usiitaje tena maana ilishakufa. Ni chapter ya siasa ya Kenya yenye watu walisahau, sasa hivi wanaongea kuhusu 2022.
 
Mkuu it's possible, kumbuka mwenye gari anakupa "target" yake ya siku. You achieve it the rest of the cash mnalipia mafuta na kugawana!
Naujua huo mfumo, ata huku Dar tunautumia kwenye madaladala, Uber e.t.c. Ila kukichanga mpaka kuweza kutoka na Usd 200 kwa siku siyo rahisi na kama ingekua inafikika wenye magari wange ongeza kiwango cha kuletewa kwa siku. Hao madriver wa ma 3 simnawaona mtaani je wewe unakubali kuwa wanavuta hiko kiasi kwa siku!! Tupunguze chai, wote watu wazima hizi risto za kitoi tuziache.
 
Ni kweli huu mradi ni muhimu sana kwa uchumi wa Kenya. Mradi huu ulikufa kifo cha mende miaka miwili iliyopita. Haiko kwa budget tena. Bilioni kumi iliyotengewa mradi ulipotea hivyo tu maana kampuni ya Izraeli iliyopewa tenda ilifanya kazi kidogo chini ya asilimia ishirini kisha mradi ukakwama. Kwa kawaida hapa Kenya mradi ukikwama, serikali huwa haielezi Wakenya mbona mradi umekwama na wanafanya nini kuukwamua. Serikali wananyamaza kana kwamba hakuna jambo limetendeka. Wakenya wenyewe pia wananyamaza wanajifanya hawajui kuwa kuna mradi umekwama.
Serikali ya Kenya ina ukatili na ufisadi kwa sababu Wakenya ni wapole kwa serikali yao na wanaiogopa mno. Wabunge wameongeza mishahara yao na Wakenya wataongea lakini hawatafanya lolote. Anglo-leasing, Goldenberg, na scandals zaidi ya hamsini zimetokea nchini Kenya kwa miaka ishirini na tano iliyopita, kila scandal ikiwa ya zaidi ya shilingi milioni mia moja na nyingine kama Goldenberg ikiwa ya zaidi ya bilioni thelathini lakini hamna mtu hata mmoja mkubwa serikalini aliyefungwa kwa sababu ya ufisadi. Watu wadogo ndio wanafungwa, ukiiba kuku utafungwa. Wakenya wananyamaza ishara kwamba aidha wanaiogopa serikali au wanafurahia ufisadi unaoendelea huku. Watu wakiandamana wanakamatwa na kufungwa jela au wanapigwa kama mbuzi au kondoo, kwa hivyo inakuwa ni busara kwa Wakenya wengi kuendelea kuishi maisha yao bila kusumbua serikali. Galana Kulalu isahau, usiitaje tena maana ilishakufa. Ni chapter ya siasa ya Kenya yenye watu walisahau, sasa hivi wanaongea kuhusu 2022.
Very sad, but bad story.
 
Thisdayes.....dereva wa mathree kulipwa $20 daily sio mchezo....mwisho wa mwezi hio ni $600....hio hata ule jamaa wa ofisi mwenye tunaita middle class kenya hapati hio pesa akilipa tax....dere wa mathree halipi tax.....leteni hizo brt na commuter trains huyu jamaa ataishia wapi.
 
Man this is the peace of shi***..
You kenyans why dont you come to 255 and learn about this issues.
qwi qwi qwi qwi..
 
Thisdayes.....dereva wa mathree kulipwa $20 daily sio mchezo....mwisho wa mwezi hio ni $600....hio hata ule jamaa wa ofisi mwenye tunaita middle class kenya hapati hio pesa akilipa tax....dere wa mathree halipi tax.....leteni hizo brt na commuter trains huyu jamaa ataishia wapi.
Change lazima itokee tu, watu wataumia hiyo haina msalia mtume. Wewe unazani hizo ma3 zitakuwepo miaka 15 ijayo! Wakati huo Dar nzima itakua na BRT na commuter trains maendeleo yana tabia yakuambukiza. Uki ingia twitter wakenya wengi wanalalamika kwanini Dar wameweza ila hawaitaji Jo'burg. Ata SGR ya Tz ikianza kazi na nyinyi mtapata msukumo ku electrify yenu haraka. Kuna faida kuwa na ujirani na mtu ambae ana kimbia ili mkimbizane vizuri. Kingine madriver wa ma3 hawalipwi kama ulivyo sema sijui unatoa wapi hivyo viwango. Mtu anapata kadri anavyo pambana na kuna bad days na akiumwa hapati kitu.
 
Watabaki kujiuliza na kujijibu kwann Dar wana BRT,Wanashindwa nn kujenga kenya mido ikamu kantri bana,hawajaamua tu
Wanaanza kujenga treni ya umeme kuzunguka hapa Dar hili nalo likianza kazi watakua na viporo viwili sasa sijui watachomokea wap
 
Uzuri wa bongo vitu huwa vina pikwa, utekelezaji ukianza huwa hamna kurudi nyuma. Kimya kimya ule mradi umefika sehemu nzuri ila ndugu zetu daily kelele, mala wame enda spain mara korea! Mara wame weka order ya DMU za mtumba! Yani ni vurugu tu
 
Thisdayes......wewe hunielewi,nakubaliana na wewe,change lazima iwepo na shida si implementation...shida ni priority....in economis lazima uprioritize ndio maana government zipo na budget....maendeleo lazima,lakini lazima uzingatia vitu muhimu kwanza...kwa mfano serikali inafaa kua imejenga viwanda ambavyo vita absorb hao vijana watakao temwa na mradi kama huu wa BRT...si ku assume kwenye wataenda....mambo ya mshahara wacha kubisha kaka...hio ndio pesa wanapata.
 
Kwa BRT pia kutakuwa na opportunities. Wanaweza ajiriwa huko. Hata kufagia barabara ni kazi. Bora tu hayo magari yaondolewe Town. Karibu nigongwe another day
 
Janerose........one BRT bus inareplace 6-14 seater matatu...1- 14 seater matatu ina employ dereva moja na tout moja...bus moja ya BRT ina employ dereva mmoja tu....kwa hivo bus moja ya BRT inafuta vijana 11 kazi....vijana walikuwa kazi hawapo kazi tena,unafikiri wataenda wapi....shida yetu waafrika tunakimbilia projects hazimake economic sense......our economies are still tiny and largely agricultural.....our infrastructure growth should centre around agriculture for maximum impact....i.e in makueni county hapa kenya niliona gavana wa huko alishajenga kiwanda ya kuprocess juice...kumbuka huko wanakuza maembe mingi sana...kisha akatafuta market....saa hii vijana huko wakapata ajira,mkulima wa maembe akapata market,hizo juice lazima zipelekwe market,hapo dereva ashapata kazi,vijana wa ku offload lazima wapate kazi...kwa ufupi hio investment ya kiwanda ipo na ripple effects na watu wengi wakanufaika....economic development is organic,thats how you grow an economy...sikufanya projects hazisaidii watu.
 
Back
Top Bottom