EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Ukitaka kulinda kura bora uichukue na kutia mfukoni na kwenda nayo nyumbani ili uilinde vizuri....hehehehe
Afu mnaomkaripia 1academ punguzeni moto, hiyo picha aliyoleta humu inatrend online, nafikiri ni photoshop.
Yes thats not what was used..He is just stirring up mafeelings..hahaha..coz that invalidates it...just kutafuta kiki
 
Aki huu ni Ujinga mgani

Inamaanisha only 5% ndio imehesabiwa

TUrnout YA kenya leo Hata John Kerry ameshtuka

Iko asilimia 90% kuendelea probably bado wanahesabu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Unabishana na watu wasioelewa nini maana ya marginal election. 19 million registered, mpaka sasa ni only 3millon ndio imetoka. Watu wameshaaza kusema ameshidwa, kweli ni ujinga usio na mfano.
 
Duh Naona dalili zinaanza kuwa mbaya kwa mzee wa kitendawili....
 
Hivi nyie mnaoleta u Chadema na UCCM humu mnamaanisha nini?Kenya na Tanzania ni tofauti sana .Kijito na Bahari.Toeni UCCM na Uchadema hapa.
Watu bado wako kwenye 2015 mode, sijuwi lini wata move on.
 
Unabishana na watu wasioelewa nini maana ya marginal election. 19 million registered, mapaka sasa ni only 3millon ndio aimetoka. Watu wameshaaza kusema ameshidwa, kweli ni ujinga usio na mfano.

Sample ya watu Million 3 kati ya Million 19 ni kubwa mno, ukifanya representation nzuri ya sample, hata kura 1000 tu kati ya Million 300 zinaweza kukuonyesha nani anashinda.

Muhimu hapa ni je representation ya hiyo Million 3 ipoje.
 
It is too early kutabiri mshindi.
Katiba ya Kenya iko Complex kidogo kumpata mshindi. Mshindi ni lazima apate zaidi ya 50% ya kura zote pamoja na kupata kura za kutosha katika kaunti nyingi.

Mpaka sasa matokeo yaliyotangazwa ni chini ya 30% ya watu waliojiandikisha. Bado tusubiri zaidi....

Kwa vyovyote vile mshindi atapatikana kwa tofauti ya kura chache sana na huenda hata uchaguzi ukalazimika kwenda kwenye Duru ya Pili.

Team Uhuru Kenyatta.
 
Unabishana na watu wasioelewa nini maana ya marginal election. 19 million registered, mpaka sasa ni only 3millon ndio imetoka. Watu wameshaaza kusema ameshidwa, kweli ni ujinga usio na mfano.
Ndio nashangaa for all we know The tables might be turned right now and iko 30% 60% na voter turn out ni 40% who knows......

Wamerelease only 15% of total votes cast mafala washaanza Odinga ameshindwa siwangoje ifike 70% ndio waanze kuwika Odinga ameshindwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sample ya watu Million 3 kati ya Million 19 ni kubwa mno, ukifanya representation nzuri ya sample, hata kura 1000 tu kati ya Million 300 zinaweza kukuonyesha nani anashinda.

Muhimu hapa ni je representation ya hiyo Million 3 ipoje.
Kiambu
Kirinyaga
Meru na Embu zina 3.4mn Votes for all we know Zinawekuwa zimetoka zote area moja na little additive from western Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sample ya watu Million 3 kati ya Million 19 ni kubwa mno, ukifanya representation nzuri ya sample, hata kura 1000 tu kati ya Million 300 zinaweza kukuonyesha nani anashinda.

Muhimu hapa ni je representation ya hiyo Million 3 ipoje.
I disagree with you, exit poll zinagongana, kwsababu sio rahisi kufika kwenye majimbo yote kujua undani wa wapiga kura. Ndio maana hata utafiti wa mwanzo ulikuwa unatoa majibu tofauti.

Mpaka sasa ni kura laki nne tuu zinazo watenganisha na kwa turnout ya election hii, hizo ni kura kidogo sana. Tena matokeo yameaza kutoka kule ambako Kenyatta ni popular. Mpaka sasa hatujaona shift kubwa kutoka 2013
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…