Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Nyota njema huonekana asubuhiWatu walioandikisha ni Million 9 naa hivi, hadi sasa zilizohesabiwa hazijafika 2M
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyota njema huonekana asubuhiWatu walioandikisha ni Million 9 naa hivi, hadi sasa zilizohesabiwa hazijafika 2M
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes thats not what was used..He is just stirring up mafeelings..hahaha..coz that invalidates it...just kutafuta kikiUkitaka kulinda kura bora uichukue na kutia mfukoni na kwenda nayo nyumbani ili uilinde vizuri....hehehehe
Afu mnaomkaripia 1academ punguzeni moto, hiyo picha aliyoleta humu inatrend online, nafikiri ni photoshop.
Leta ya muda huuHayo matokeo ni ya zamani sana tangu mida ya SAA mbili kasoro usiku
Sent using Jamii Forums mobile app
Unabishana na watu wasioelewa nini maana ya marginal election. 19 million registered, mpaka sasa ni only 3millon ndio imetoka. Watu wameshaaza kusema ameshidwa, kweli ni ujinga usio na mfano.Aki huu ni Ujinga mgani
Inamaanisha only 5% ndio imehesabiwa
TUrnout YA kenya leo Hata John Kerry ameshtuka
Iko asilimia 90% kuendelea probably bado wanahesabu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kama umenisoma vizuri, namaanisha jimbo la Nairobi.
Watu bado wako kwenye 2015 mode, sijuwi lini wata move on.Hivi nyie mnaoleta u Chadema na UCCM humu mnamaanisha nini?Kenya na Tanzania ni tofauti sana .Kijito na Bahari.Toeni UCCM na Uchadema hapa.
Unabishana na watu wasioelewa nini maana ya marginal election. 19 million registered, mapaka sasa ni only 3millon ndio aimetoka. Watu wameshaaza kusema ameshidwa, kweli ni ujinga usio na mfano.
Kwanza hao 19m wote wamepiga kura?Sample ya watu Million 3 kati ya Million 19 ni kubwa mno, ukifanya representation nzuri ya sample, hata kura 1000 tu kati ya Million 300 zinaweza kukuonyesha nani anashinda.
Muhimu hapa ni je representation ya hiyo Million 3 ipoje.
Ndio nashangaa for all we know The tables might be turned right now and iko 30% 60% na voter turn out ni 40% who knows......Unabishana na watu wasioelewa nini maana ya marginal election. 19 million registered, mpaka sasa ni only 3millon ndio imetoka. Watu wameshaaza kusema ameshidwa, kweli ni ujinga usio na mfano.
UHURU tenaaaaa. Sipat pcha yule dikteta uchwara ana hali gn huko aliko.Zilisohesabiwa hadi dakika hii, Uhuru 3.2million Raila 2.6million.
KiambuSample ya watu Million 3 kati ya Million 19 ni kubwa mno, ukifanya representation nzuri ya sample, hata kura 1000 tu kati ya Million 300 zinaweza kukuonyesha nani anashinda.
Muhimu hapa ni je representation ya hiyo Million 3 ipoje.
I disagree with you, exit poll zinagongana, kwsababu sio rahisi kufika kwenye majimbo yote kujua undani wa wapiga kura. Ndio maana hata utafiti wa mwanzo ulikuwa unatoa majibu tofauti.Sample ya watu Million 3 kati ya Million 19 ni kubwa mno, ukifanya representation nzuri ya sample, hata kura 1000 tu kati ya Million 300 zinaweza kukuonyesha nani anashinda.
Muhimu hapa ni je representation ya hiyo Million 3 ipoje.