Kuwa objective basi. Unaposema Uhuru na wakikuyu ni wakabila, sema hivyo hata kwa Raila na wajaluo. Unapingana na international observers lakini unayaamini baadhi ya mashirika ya kiraia ya ndani, ambayo nayo yanashambuliwa na ukabila, au haujui hata NGOs Kenya ni tribal affiliated? Unaposema wakikuyu ni wabinafsi kwa sababu ya historia lawama hiyo iwaendee pia wajaluo kwa kukataa kushiriki mapambano ya uhuru. Wala usitabiri kwamba Ruto atapingwa!Unachoongea mkuu Zitto JR ni kitu sahihi sana. Wakenya wengi wanaongelea mambo ya kisiasa kwa mihemuko ya kikabila na siyo uhalisia. Jamaa wanaoongelea waangalizi wa kimataifa, wanashindwa kuongelea waangalizi wa ndani na mashirika ya kiraia wanaodai kuna tofauti kati ya matokeo yanayotangazwa na tume na idadi kamili walizochukua wenyewe live vituoni.
Ukweli wa mambo ni kwamba, Rutto hataungwa mkono na wakikuyu come 2022. Hao jamaa ni wabinafsi sijawahi kuona. Malalamiko haya ya figisu katika uchaguzi hayataisha Kenya kama wataendeleza tabia hii ya uharamia.
Ni kweli kabisa ameshashindwa bora akubali namwona hapa ukumbini amekunja suraRaila akubali tu yaishe.
Well said, mi nampenda sana Ruth kwa mwonekano wake kuliko wanasiasa wote wa Kenya lakini haonyeshi sifa za urais kama walivyo Kalonso Musyoka na Musalia Mudavadi, so Wakikuyu wakimpandisha Mkalenjini, atapigwa vibaya kwani ni wazi kwa trend ilivyo sasa, Odinga katika uchaguzi ujao atamuunga kati ya Musyoka ama Mudavadi ambao ukiacha makabila yao, wamekuwa kwenye alliances nyingi tangu 2002 hivyo wanakubalika hata kwa county zisizo na makabila hayo makubwa hasa kwa wasomali, wamasai na watu wa Pwani.Mkuu mimi ni mtanzania ila nmeishi sana kenya hivyo najua nachosema ...... kenya ukabila una matter kuliko kitu chochote both sides na usijifanye hujui walipompa odinga uwaziri mkuu kibaki alidai atasupport transition of power kutoka kwake hadi kwa odinga tafuta ile video ya siku wakizindua katiba mpya hii ya sasa kibaki was clear kabisa kuwa anamsupport odinga kuwa next president kumbe huku nyuma tayari anamuandaa mkikuyu uhuru agombee!!!!
Narudia tena Ruto will neva be the president 2022 yye wanamtumia tu kupata kura za rift valley kwa wakalenjin hukooo ila usishangae 2022 jubilee wakampitisha mkikuyu wa huko kiambu au kirinyaga kuwa Rais wait and see time is a good judge
Yashafika tayari,inasubiriwa tu muda wa chinja chinjeAcheni ushabiki mkuu yaani mtu kuambulia seneti ma ugavana 50% ndio wakenya wamemchagua kwa kuangalia future??? Hivi gap ya 1 milion ndio inaonyesha odinga kachuja au uhuru ndio anakubalika???
Kaz kwelikweli..... ukabila utawamaliza wakenya coz kenya ni ya wote sio wakikuyu pekee sooner or later ya tutsi-hutu yatafika kenya
Machungu aliyopata Lowasa leo kwa Raila yatakua makubwa zaidi.
Raila alijifanya ni fundi mkubwa kwenye udukuzi wa kura ili Rafikiyake kipenzi aingie ikulu,lakini kwake ameshindwa kabisa kudukua.
Aache kulialia apishe ikulu ouru afanye yake.
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ni chungu.
Sent using Jamii Forums mobile app