Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Uhuru ameiba kura. Atatangazwa hivi sasa na IEBC. Lakini IEBC haijamaliza kukagua form 34b. Kuna form 34b zaidi ya kumi ambazo bado hazijawasili Bomas Nairobi. IEBC haifai kutangaza kabla ya kupokea form 34b zote na kuzikagua. Nimepata fununu kuwa Kisumu na Kibera kutawaka moto Leo ila sijui kama ni ukweli, wacha tungoje tuone