EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Uhuru ameiba kura. Atatangazwa hivi sasa na IEBC. Lakini IEBC haijamaliza kukagua form 34b. Kuna form 34b zaidi ya kumi ambazo bado hazijawasili Bomas Nairobi. IEBC haifai kutangaza kabla ya kupokea form 34b zote na kuzikagua. Nimepata fununu kuwa Kisumu na Kibera kutawaka moto Leo ila sijui kama ni ukweli, wacha tungoje tuone
 
Muda mfupi ujao Tume ya Uchaguzi itamtangaza rasmi Raisi mteule wa Kenya Uhuru Kenyatta namwona Odinga ameshafika ukumbuni.
 
Unachoongea mkuu Zitto JR ni kitu sahihi sana. Wakenya wengi wanaongelea mambo ya kisiasa kwa mihemuko ya kikabila na siyo uhalisia. Jamaa wanaoongelea waangalizi wa kimataifa, wanashindwa kuongelea waangalizi wa ndani na mashirika ya kiraia wanaodai kuna tofauti kati ya matokeo yanayotangazwa na tume na idadi kamili walizochukua wenyewe live vituoni.

Ukweli wa mambo ni kwamba, Rutto hataungwa mkono na wakikuyu come 2022. Hao jamaa ni wabinafsi sijawahi kuona. Malalamiko haya ya figisu katika uchaguzi hayataisha Kenya kama wataendeleza tabia hii ya uharamia.
Kuwa objective basi. Unaposema Uhuru na wakikuyu ni wakabila, sema hivyo hata kwa Raila na wajaluo. Unapingana na international observers lakini unayaamini baadhi ya mashirika ya kiraia ya ndani, ambayo nayo yanashambuliwa na ukabila, au haujui hata NGOs Kenya ni tribal affiliated? Unaposema wakikuyu ni wabinafsi kwa sababu ya historia lawama hiyo iwaendee pia wajaluo kwa kukataa kushiriki mapambano ya uhuru. Wala usitabiri kwamba Ruto atapingwa!
 
Chomaneni tuuu moto na visu na mapanga maaana wao wenyewe wapo wanaangalia tuuu na ku confirm mpango wao wa DIVIDE AND RULE.
 
Machungu aliyopata Lowasa leo kwa Raila yatakua makubwa zaidi.
Raila alijifanya ni fundi mkubwa kwenye udukuzi wa kura ili Rafikiyake kipenzi aingie ikulu,lakini kwake ameshindwa kabisa kudukua.
Aache kulialia apishe ikulu ouru afanye yake.
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ni chungu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewasili Ukumbi wa Bomas kujua hatma ya nafasi hiyo anayoitetea kwa muhula wa pili. Matokeo kutangazawa leo
 
Hatimaye mafisi wa Jubilee wamefanikiwa kuiba kura za Odinga na kushinda uchaguzi. Mungu anawaona nyie nyang'au!
 
Mkuu mimi ni mtanzania ila nmeishi sana kenya hivyo najua nachosema ...... kenya ukabila una matter kuliko kitu chochote both sides na usijifanye hujui walipompa odinga uwaziri mkuu kibaki alidai atasupport transition of power kutoka kwake hadi kwa odinga tafuta ile video ya siku wakizindua katiba mpya hii ya sasa kibaki was clear kabisa kuwa anamsupport odinga kuwa next president kumbe huku nyuma tayari anamuandaa mkikuyu uhuru agombee!!!!

Narudia tena Ruto will neva be the president 2022 yye wanamtumia tu kupata kura za rift valley kwa wakalenjin hukooo ila usishangae 2022 jubilee wakampitisha mkikuyu wa huko kiambu au kirinyaga kuwa Rais wait and see time is a good judge
Well said, mi nampenda sana Ruth kwa mwonekano wake kuliko wanasiasa wote wa Kenya lakini haonyeshi sifa za urais kama walivyo Kalonso Musyoka na Musalia Mudavadi, so Wakikuyu wakimpandisha Mkalenjini, atapigwa vibaya kwani ni wazi kwa trend ilivyo sasa, Odinga katika uchaguzi ujao atamuunga kati ya Musyoka ama Mudavadi ambao ukiacha makabila yao, wamekuwa kwenye alliances nyingi tangu 2002 hivyo wanakubalika hata kwa county zisizo na makabila hayo makubwa hasa kwa wasomali, wamasai na watu wa Pwani.
Pia ukiacha mapinduzi makubwa ya kimiundombinu nchini Kenya yaliyofanywa na Uhuru, nafasi yake kama Incumbent ndiyo imembeba zaidi.
 
Acheni ushabiki mkuu yaani mtu kuambulia seneti ma ugavana 50% ndio wakenya wamemchagua kwa kuangalia future??? Hivi gap ya 1 milion ndio inaonyesha odinga kachuja au uhuru ndio anakubalika???

Kaz kwelikweli..... ukabila utawamaliza wakenya coz kenya ni ya wote sio wakikuyu pekee sooner or later ya tutsi-hutu yatafika kenya
Yashafika tayari,inasubiriwa tu muda wa chinja chinje
 
Kwenye moja ya kampeni zake, Kenyata alisema nilimshinda nikiwa nje ya ya serikali. Kweli atanishinda nikiwa ndani ya serikali.'' Ile kauli iliniacha na fumbo zito sana....

Hakujawahi kuwa na uchaguzi wa Uhuru na wa haki barani Afrika... Ni maigizo tu
 
these kind of inflammatory statements ndio huwa zinaleta violence....
 
Machungu aliyopata Lowasa leo kwa Raila yatakua makubwa zaidi.
Raila alijifanya ni fundi mkubwa kwenye udukuzi wa kura ili Rafikiyake kipenzi aingie ikulu,lakini kwake ameshindwa kabisa kudukua.
Aache kulialia apishe ikulu ouru afanye yake.
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ni chungu.


Sent using Jamii Forums mobile app

Weww hujitambui kabisa, nakushauri ukae kimya!!! Sio lazima utoe hoja!!!!
 
Back
Top Bottom