EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017


Kiswahili kimenyooka hivi
 
Wewe ni Mkenya kweli??? Nani amekuandikia hiki kiswahili??
Si tumewakaribisha wenyewe uswahilini kwa nini wasijue Kiswahili. Nina Rafiki Mganda alikaa Tanzania pale Kinondoni. Huyu Bwana ukikutana naye mswahili kabisa hata vile viingereza vyao hana ni Kiswahili asubuhi hadi jioni. Acha wakiongee hiyo ni sawa tu mradi wakiongee vizuri tu bila kukichafua.
 
Kura nishaipiga. Kuna wale ambao huenda kwenye kituo cha kupigia kura bila kujua yule watakayemchagua. Hawa ndio huwachelewesha wengine.
 
Pambana na hali yako mkuu!
 
Odinga atashindwa katika jina la Yesu ,Amen .That man is not fit to rule or fit for the presidency hata kidogo.

Leo mnatumia jina la Yesu, wakati mnawadili akina Musando mlitumia jina la nani! Aibu yenu
 
Pole nilijibu pasipo penyewe. Hii ilimhusu bwana254 hapo juu. Yeye aliitumia kabisa Jina la Yesu kumtakia kushindwa Mgombea wa NASA. Kwako ilijibiwa kimakosa. Pole ndugu! Asante kwa uvumilivu.
Pamoja sana mkuu.

Peace and love!!
 
[QUOTE="BUBE, post: 22724000, member: 31216"

umharibu kura[/QUOTE]
 
Watanzania tunapenda kufuatialia mapungufu ya kijinga tunaacha maswala ya msingi.

Ivona ni mtangazaji wa kimataifa.
Ivona hafahamu siasa za Kenya hivyo kuripoti kwake lazima kuwa na mapungufu.
 
Mimi ni mkenya jombaa! Sasa hivi nina alama kwenye kidole, kuashiria nimetimiza haki yangu kama mkenya. Kiswahili ndo lugha tunayoienzi mkuu! MK254, uko wapi,kura ulishapiga au vipi?
Nimempigia Babaaaa sasa nasubiri kushangilia niko umbali mita 7000
 
Pia hyu seneta wetu toka chama cha miau miau lazma apite..jembe la ukweli
 
Nimempigia Babaaaa sasa nasubiri kushangilia niko umbali mita 7000
Umeeka tick kwa Raila na X kwa Uhuru? Hii ni muhimu sana kwa wafuasi wote wa NASA, usipofanya hivo hutaweza kulinda kura yako! Itaibiwa aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…