Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,605
- 1,085
254 tunajua ni ya anga gani, tumekusikia.Good luck with your votting.Odinga atashindwa katika jina la Yesu ,Amen .That man is not fit to rule or fit for the presidency hata kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
254 tunajua ni ya anga gani, tumekusikia.Good luck with your votting.Odinga atashindwa katika jina la Yesu ,Amen .That man is not fit to rule or fit for the presidency hata kidogo.
Dadeki, saa kumi na mbili na dakika thelathini na tatu ndo nimepiga kura yangu! Son of the soil, nimeshatimiza wajibu wangu kwa nchi yangu, shukran zote ni kwa Maulana!
Hongera tume ya uchaguzi na mipaka IEBC mmejipanga vyema sana! Diwani wangu Ustadh Kanchory mwenyewe, tumepatana nikitoka akanisalimia na kupiga bonge la smile, aisee ni kama ameshinda Sportpesa vile! Anajua nishampa zake tano tena!
Jubilee hoyee!
Si tumewakaribisha wenyewe uswahilini kwa nini wasijue Kiswahili. Nina Rafiki Mganda alikaa Tanzania pale Kinondoni. Huyu Bwana ukikutana naye mswahili kabisa hata vile viingereza vyao hana ni Kiswahili asubuhi hadi jioni. Acha wakiongee hiyo ni sawa tu mradi wakiongee vizuri tu bila kukichafua.Wewe ni Mkenya kweli??? Nani amekuandikia hiki kiswahili??
Pambana na hali yako mkuu!Nawapongeza azam kwa kutuletea live habari za uchaguzi kenya.
Lakini nmesikitishwa na kitendo cha mtangazaj wao mmoja ivony kama sijakosea jina kuvaa socks za miguuni mkononi. Halafu akaamua kutoboa sehemu ya kutolea vidole gumba...
Ina maana hawajamuona kuwa amefanya kitu cha kipuuzi?kwa nini avae socks ? Kama ni baridi ingawa nmeshangaa watu wengi wamevaa kawaida. Basi kwa nini hakununua socks maalum kuliko kuvaa kituko kama hicho? Azam ina maana mmeshindwa kumwambia upuuzi huo?lazima ajue hiyo siyo comedy
Magu anaweza hata akaenda kuwacharaza bakoraWakenya mkizingua sahivi hakuna wa kuwasuluhisha.
Odinga atashindwa katika jina la Yesu ,Amen .That man is not fit to rule or fit for the presidency hata kidogo.
Pamoja sana mkuu.Pole nilijibu pasipo penyewe. Hii ilimhusu bwana254 hapo juu. Yeye aliitumia kabisa Jina la Yesu kumtakia kushindwa Mgombea wa NASA. Kwako ilijibiwa kimakosa. Pole ndugu! Asante kwa uvumilivu.
😀 Watu wa NASA hawa hehe mbona rais wetu Uhunye asirudi zingine tano hadi washike adabu? Hizi ndo kura walizoambiwa walinde! Eti Uhuru X Raila tick!😀Nimempa kazi mmoja na kumtimua mwenzakeView attachment 560957
haribu kuraNimempa kazi mmoja na kumtimua mwenzakeView attachment 560957
Ivona hafahamu siasa za Kenya hivyo kuripoti kwake lazima kuwa na mapungufu.Watanzania tunapenda kufuatialia mapungufu ya kijinga tunaacha maswala ya msingi.
Ivona ni mtangazaji wa kimataifa.
Kweli chama chetu cha miau miau lazima tukifikishe senate! Agenda yetu kuu ni vichinjio vya miau miau kwenye kila county nchini Kenya!Pia hyu seneta wetu toka chama cha miau miau lazma apite..jembe la ukweliView attachment 561079
Hapa ndo napomkumbuka Goodluck JonathanMara chache sana kwa rais aliyeko madarakan kushindwa hasa kwa nchi zetu hizi za Afrika...Hii imetokea mara chache sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeeka tick kwa Raila na X kwa Uhuru? Hii ni muhimu sana kwa wafuasi wote wa NASA, usipofanya hivo hutaweza kulinda kura yako! Itaibiwa aisee!Nimempigia Babaaaa sasa nasubiri kushangilia niko umbali mita 7000