Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Raila anachakazwa vibaya mno..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I'm very sure huko waliko Uhuruto jasho linawatoka. Hawajapata South west yote, south, east yote, north yote.Ndio nashangaa for all we know The tables might be turned right now and iko 30% 60% na voter turn out ni 40% who knows......
Wamerelease only 15% of total votes cast mafala washaanza Odinga ameshindwa siwangoje ifike 70% ndio waanze kuwika Odinga ameshindwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vuta subira mambo bado.Hongera sana Uhuru Kenyatta kwa kuchaguliwa tena kuwa Raisi wa Kenya
Mmmh mwenzetu wewe ni mwenyekiti wa tume???!!Hongera sana Uhuru Kenyatta kwa kuchaguliwa tena kuwa Raisi wa Kenya
Uvccm ndiyo mlikuwa mnamfanyia kampeini odinga hadi mkamkaribisha majumbani mwenuBawacha inatakiwa mjue ilivyo vigumu kumtoa Rais aliyeko madarakani.. Subirini mpaka CCM wagombane 2055
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilitafunwa na mchwamwambie ampeleke lubuva akamsaidia na vp kile kituo cha kuesabia kura [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli mkuu na kule hakuna lubuvaaNyota njema huonekana asubuhi
Bado mnasubiri matokeo ?
Thubutuuuu kule hawanaga masihara mzee akienda huko tumsahauNamanga na Sirari ulinzi uimarishwe Tafadhari kuna Mzee mmoja tunamuita JECHA akipenya tu.....
KIMEO CHANGU