EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

Wizara ya Ardhi ghorofa ya 8 au 9. National Housing Building Research Unit wapo Mwenge njia ya kwenda Mlimani City. baada ya hosp ya JWTZ,ni kitengo cha wizara ya ardhi wanashughulika na ujenzi wa nyumba zenye gharama nafuu.
 
Hi wana jamvi

naomba kujua wapi nitapata ramani ya nyumba (Residential ). nina hasira sana na ujenzi

asanteni
hidekel Unatafuta architect (msanifu-majengo)? Ramani kimsingi inatakiwa kutoka kwako. Kwa kuanzia,wewe ndiye unajua unataka nini(wants and needs)! Mtafute architect, m-discuss naye mahitaji yako na kutokea hapo yeye atakushauri na/au kusanifu nyumba inayokufaa na baadae kukupa ramani tayari kwa mchakato wa ujenzi. Pamoja na maeneo walioshauri wadau hapo juu, unaweza kwenda pale chuo kukuu cha ardhi (kama lengo ni kupata architect).

Kama ni suala la kupewa ramani tu mbona hata humu mitandaoni zipo tu!
 
Ni PM nikupe namba ya architect mzuri akuchoree ramani kwa bei poa. Tatizo lenu waswahili mkishapewa first draft kwa ajili ya kuweka sawa mnaona Kama shida imeisha mnakimbia hata humkumbuki kulipa chochote.
 
Mimi ni muuzaji wa nyumba na viwanja na katika shughuri hizi kuna watu nafanya nao kazi ambao shughuri zao ni kuchora ramani za majengo, kama utahitaji nikukutanishe nao nipigie 0657145555 au naweza kuwakutanisha online skype. lakini uwe unamaanisha .
 
Tuwasiliane nikukutanishe na mdau tena mtaelewana ni mtaalam toka uclass 0714812375
 
Wizara ya Ardhi ghorofa ya 8 au 9. National Housing Building Research Unit wapo Mwenge njia ya kwenda Mlimani City. baada ya hosp ya JWTZ,ni kitengo cha wizara ya ardhi wanashughulika na ujenzi wa nyumba zenye gharama nafuu.

yeah tsh 160ml ni nyumba ya gharama nafuu to them and you
 
wazee tuko pamoja msione kimya nafuatilia mchakato huu kwa karibu sana
 
nahitaji mtu wa kunichorea ramani ya nyumba...nyumba ya kawaida yenye vyumba 3 na sebule.
 
sipati picha! 5 years sleepless nights, halafu services kwa 50,000/- kwel akutukanaye hakuchagulii tusi! ushauri kuna jamaa yupo pale ubungo stand ya dala dala anauza hata kwa buku 2 unapata!
 
sipati picha! 5 years sleepless nights, halafu services kwa 50,000/- kwel akutukanaye hakuchagulii tusi! ushauri kuna jamaa yupo pale ubungo stand ya dala dala anauza hata kwa buku 2 unapata!

Kwa nini usingenunua wewe kwa hiyo buku 2 halaf ukamuuzia yeye kwa bei mtakayo elewana..............au na wewe ndo walewale nini labda?.
 
Kwa nini usingenunua wewe kwa hiyo buku 2 halaf ukamuuzia yeye kwa bei mtakayo elewana..............au na wewe ndo walewale nini labda?.
kwa nn nimuongezee gharama! wakati za bei nafuu zipo! nimekumbuka mwingine yupo posta mpya! ila yeye kidogo kachangamka inaweza kufika bk 5!
 
nahitaji mtu wa kunichorea ramani ya nyumba...nyumba ya kawaida yenye vyumba 3 na sebule.

halafu unakuta nyie ndio wale mnajitapa alfu 50 utatoa, kumbe ukiiweka tu ramani mkononi unapotelea mbali na simu hupokei. nachukia sana watu wenye tabia hii, udhulumaji wa namna hii ni kujitakia laana tu!
 
Mjomba hebu kua serious bana, watu wamesomea hiyo profession alafu unatoa offer ya 50,000? Hata ramani banda la uwani haitoshi
 
sipati picha! 5 years sleepless nights, halafu services kwa 50,000/- kwel akutukanaye hakuchagulii tusi! ushauri kuna jamaa yupo pale ubungo stand ya dala dala anauza hata kwa buku 2 unapata!

Labda hujamwelewa! Yeye anachohitaji ni photocopy ya ramani ya nyumba na siyo siyo original architectural drawing! Labda anafikiri architecture engineering ni fine art!!
 
Mjomba hebu kua serious bana, watu wamesomea hiyo profession alafu unatoa offer ya 50,000? Hata ramani banda la uwani haitoshi

Kuwa pro hakukufanyi kushindwa kumsaidia asie na uwezo kumsaidia ,mbona kuna wanasheria wanatoamsaada wa kisheria buure na wengine hutaka tu hela ya mafuta,kuna waganga wamesoma miaka na wanatoa huduma buure sembuse nyie wachoraji wa majengo bana,sema tu tamaa zimewazidi sisi enzi zetu tulikuwa tunatumia drafting paper na unakalia stuli hadi mgongo unapinda kwa kutumia hizo drawing board na Tsquare,siku hizi kukopi kwingi na ukiweka mchoro kwenye hizo 3D inakuwa taabu,ningekuwa bongo ningemchorea hilo banda la uwani buurena si kumsimanga
 
kwa nn nimuongezee gharama! wakati za bei nafuu zipo! nimekumbuka mwingine yupo posta mpya! ila yeye kidogo kachangamka inaweza kufika bk 5!

No,kama utamuuzia juu ya 50 hapo ndo utakuwa umemuongezea gharama lakini bei kama mtaelewana hiyo inakuwa sio kumuongezea gharama ni maelewano tu,we umenunua na wee unauza,aidha kama hutojali kanunue halaf uje kumpa bure hapo ndo tutajua kweli una upendo wa mshumaa unawamulikia watu halaf wenyewe unaungua,acha siasa bwana'
 
Mi naona jamaa kaweka wazi kiasi anachoweza kulipa, kama inawezekana sawa, haiwezekani hatamdai mtu.
 
Back
Top Bottom