Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah, design ni nyingi tu
Yeah, design ni nyingi hizo ni sample tu
Architectural drawings bei zake zinafahamika sanaWeka bei hilo ndio la msingi ili tulinganishe na bei ya soko.
tatizo hiyo bei ndogo mno uliyosema ndo haijajulikana.
Hebu taja basi nikutafute
tatizo hiyo bei ndogo mno uliyosema ndo haijajulikana.
Hebu taja basi nikutafute
Price 250,000/= tu kwa ofaa pekee njoo ujinyakulie kitita cha michoro iliyotayari kwa ujenzi.
Mbona zote ni gharama kubwa sana kimuonekano katka ujenz vp raman za wakina yahee ya self room2 moja iwe master+sebule
asante ntakutafuta.
A lodge full package enjoy
....Namba ya simu iko hapo tupia sms kwenye simu, PM, muda wa kuzipitia haupo. Bip, utapigiwa tu kama salio huna.
Ramani namba 6 na 18 vinafaha kwenye viwanja venye ukubwa gani? Wewe unapatikana wapi?
Jerhy, Umeshamaliza chuo?
Biography: nimeteseka sana na kitu elimu yaani miaka 7 nasomea degree yaani ni maumivu mno.
https://www.jamiiforums.com/matanga...-heslb-kwa-tuliokosa-mkopo-wa-vyuo-vikuu.html
https://www.jamiiforums.com/matanga...angu-tafadhali-nichangia-kwa-kununua-hii.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ya-heslb-kutunyima-mkopo-priority-course.html
Lodge yenye vyumba 25 vya kulala, sehemu ya ukumbi wa mikutano, restraunt, mini bar, etc
Gorofa za aina tofauti na zinginezo