EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

kiasi nikichokua nacho ndo hicho piia nahitaji original archtiture drawing sihitaji copy...tuko jf kwaajili ya kusaidiana sio kuongea propaganda na kum discourage mtu kama haiwezekani kausha.. Ni bora kupata pesa kuliko kukosa pesa.
 
There are currently 5 users browsing
this thread. (5 members and 0
guests)
Baba V , mkatakona , nachid , Erick kg, afrodenzi

Sijawahi ona thread inafuatiliwa na members tu bila guest visitors..
 
nitakuchorea kwa laki 4 jumla na kukujengea msingi,au elfu 60 kwa raman pekee.. 0652835909
 
Jamani hata fundi mchundo wa kujenga atalipwa almost millioni 3 au nne kujenga nyumba kama hii.... Atleast basi bei ya mchoraji ambaye ndo designer Na huyo fundi anafanya kazi kumtegemea huyo aliechora iwe ata 15 au 20 percent ya hiyo helA basi. Elfu 50 ni ndogo sana jamani... Lets value ethics..
 
Architect E.M.
huyu jamaa nathani anachokihitaji ni unproportion sketch.. labda hatujamuelewa..
c.thani kama anaubavu wakujenga..
huyu nae ni wale kwenye kundi la daydremerz..
mpatie raman ya banda la nguruwe..
 
Biashara ushindani yeye katoa offer ya 50K basi aliyetayari kuchora si ampigie atangaze dau lake na yeye...Kuliko kupiga kelele humu wakati namba ya simu ipo pale kaweka .....
 
There are currently 5 users browsing
this thread. (5 members and 0
guests)
Baba V , mkatakona , nachid , Erick kg, afrodenzi

Sijawahi ona thread inafuatiliwa na members tu bila guest visitors..

There are currently 7 users browsing this thread. (4 members and 3 guests)
 
wazee wa kukopi na kupaste mumekujajuuuuuuu. You are never creative halafu munajifanya five years. Tuition fee medlokua mkilipiwa na serekali na bumu ambalo mpaka sasa hamjarudisha ndani ya miaka mi5 munataka muvivune kwa mtu mmoja???????.

Out of subject , naonaga zile nyumba mnazozichora kwa internet utakuta nnje mumeweka magari na watu wanatembea. Hivi munashindwaga nini hata kujitahidi kuweka watu weusi. Mnawekaga wazungu tu. As a layman napaaga sana shida

Saidieni wenzenu walio na kipato cha chini pia.

Nakaribisha matusi
 
namba yangu ni 0717 022737 atakaye weza kufanya kazi kwa 50,000 anicheki.
Yes,umeongea kiume,safi sana mkuu.

Aliyetayari kufanya kazi kwa pesa hiyo amcheki ili wafanye biashara,asiyeweza akae pembeni full stop!!
No kubembelezana bhana!
 
wazee wa kukopi na kupaste mumekujajuuuuuuu. You are never creative halafu munajifanya five years. Tuition fee medlokua mkilipiwa na serekali na bumu ambalo mpaka sasa hamjarudisha ndani ya miaka mi5 munataka muvivune kwa mtu mmoja???????.

Out of subject , naonaga zile nyumba mnazozichora kwa internet utakuta nnje mumeweka magari na watu wanatembea. Hivi munashindwaga nini hata kujitahidi kuweka watu weusi. Mnawekaga wazungu tu. As a layman napaaga sana shida

Saidieni wenzenu walio na kipato cha chini pia.

Nakaribisha matusi

Ni copy and paste, wazungu hawajawahi weka mweusi
 
party-smiley-048.gif
party-smiley-048.gif
party-smiley-048.gif
party-smiley-048.gif

Mimi ntachangia "rasimu" ya hiyo ramani.....free of charge

low_cost_plan_3.jpg

Kuna faida ya kucholewa ramani na watu wa kueleweka ambao wengi wao huwa zinaanzia at least 200,000, sasa kwa hiyo 50,000 ina maana unaenda kujenga kwenye skwata au kiwanja ambacho kimepimwa ambacho sheria inasema lazima hiyo ramani iwe imechorwa na mtu anaetambulika na lazima ipitishwe na halmashauri ya mji/manispaa/jiji
 
Hahhahahahaaa nimecheka kweli dahhh nikama mtu anakwambia anataka umfanyie operation lets say ya tumbo then ana elf 10 yani heri umfanyie bure tuu dahhh afu mshkaji ataka a three bedroomed hous.umetisha!!!! Fanya hvi kuna wale mafund wanajengaga kimagumashi hata bila raman kawafwate hao ye ndo afanye kila kitu.ila urizike na matokeo usishangae bafu na jiko nibpua na mdomo.hahhahahhs
 
Nadhani nchi hii inatakiwa kuwe na sheria za ramani sio kila maumba yamezidi kuwa na ramani za ovyo hata mji haupendezi tena... miramani ya jabu ajabu mno. kama zinapatikana hata kwa buku mbili ni balaa sana....

Mkuu kuna ramani ya nyumba hii ni PM nimalize biashara
supajokes.tk.jpg
 
Ramani ndogo za nyumba vyumba viwili au vitatu, na hata gorofa

Michoro itajumuisha
1.Floor plan,
2.Detailed design,
3.Roof plan,
4.Section plan,
5.Elevation 2D,
6.3D computer model view,
7.Sewage sytem

mfano: Hii ni vyumba vitatu: jiko, stoo, dining, sitting, public toilet, master,
IMG_20160102_153517.jpg

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Last edited:
Back
Top Bottom