Hata mimi nilijifunzia hyo 2007 na iko poa sana ukilinganisha na matoleo mengne ya nyuma ila kwa sasa naipenda hii 2015 imeongezewa features nyingi mpyaOk, uko makini na toleo jipya kaka. Hata hivyo AUTOCAD Basic ni ile ya 2007
Sent from my G630-U10 using JamiiForums mobile app
mtoa mada yuko sahihi kabisa, kwa designer makini anaelewa jamaa anachohitaji sema tu hapo mpangilio wa maneno kuunda sentensi kutoa maana ya moja kwa moja ni utata,.....nimependa haya maelezo yako
sitting room na dining room visiwe na mlango wa kuingilia vyumba 3 tajwa hapo juu
kwa hiyo watu wanaingilia vyumbani kupitia jikoni?
wenye fani wanaelewa maelezo ya mteja. unaonekana kabisa hii siyo fani yako maana naona unatafsiri kila kitu kwa jinsi kilivyo andikwa.Hii nyumba itakuwa ya mvuta bangi au kichaa, kwahiyo mlango wa kuingilia sitting room utakuwa chooni
Nitumie namba yako tuwasiliane nione kazi zakoNi pm upate ramani nzuri, hope utaipenda na kama upo dar naweza kukupa offer ya kufanya site visit wakati wa setting out,mara nyingi mafundi wengi setting out ni tatizo na wanaweza kukujengea kwa uzoefu wao na sio utaalamu.
Ni pm upate ramani nzuri, hope utaipenda na kama upo dar naweza kukupa offer ya kufanya site visit wakati wa setting out,mara nyingi mafundi wengi setting out ni tatizo na wanaweza kukujengea kwa uzoefu wao na sio utaalamu.
Uzoefu haimanishi usahihi, nafanya kazi na mafundi wengi wenye uzoefu wa miaka mimngi kazini lakini kazi zao zina makosa mengi, na hawajui kuhoji kwanini hivi. Anaweza akafanya kitu tofauti ukimuuliza anakwambia mbona sehemu fulani nilikua nafanya hivi, hawana majibu ya kitaalamu.uzoefu wa 3-infinity years ni bora sana kuliko utaalam.
Hapa mawazo utazongwaaa hadi kesho.Hi Ramani aliye ichora imejitahidi sana. Hata kama yumo humu nampongeza . walaam naomba mawazo yenu
Tajeni bei zenu basi.. Nataka business plan ya small construction business
naweza kuipata hii software, AUTOCAD au ARCHCAD?Ok, uko makini na toleo jipya kaka. Hata hivyo AUTOCAD Basic ni ile ya 2007
Sent from my G630-U10 using JamiiForums mobile app
Siyo kwenye fani ya ujenziuzoefu wa 3-infinity years ni bora sana kuliko utaalam.
2015 version bestHata mimi nilijifunzia hyo 2007 na iko poa sana ukilinganisha na matoleo mengne ya nyuma ila kwa sasa naipenda hii 2015 imeongezewa features nyingi mpya
Ukipata mchoro karibu one2one focus limited tukujengee kwa garama Nafuu kabisa zaidi ya yote waweza kulipa kidogo kidogo Raman kwa wateja wetu ni bure kabisaVyumba 3
mikoja master bed room
master bedroom isiwe corridor moja na the vyunba vingine
sitting room na dining room visiwe na mlango wa kuingilia vyumba 3 tajwa hapo juu
Kitchen iwe na stoo
kiwanja ni 19x18
kibaraza cha nje sehemu ya jiko na kuingilia sitting room viwepo.
bughet laki 2
0763772636 waweza nichek hapoUkipata mchoro karibu one2one focus limited tukujengee kwa garama Nafuu kabisa zaidi ya yote waweza kulipa kidogo kidogo Raman kwa wateja wetu ni bure kabisa