EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

Ok, uko makini na toleo jipya kaka. Hata hivyo AUTOCAD Basic ni ile ya 2007

Sent from my G630-U10 using JamiiForums mobile app
Hata mimi nilijifunzia hyo 2007 na iko poa sana ukilinganisha na matoleo mengne ya nyuma ila kwa sasa naipenda hii 2015 imeongezewa features nyingi mpya
 
Iko poa

Sent from my G630-U10 using JamiiForums mobile app
 
nimependa haya maelezo yako

sitting room na dining room visiwe na mlango wa kuingilia vyumba 3 tajwa hapo juu

kwa hiyo watu wanaingilia vyumbani kupitia jikoni?
mtoa mada yuko sahihi kabisa, kwa designer makini anaelewa jamaa anachohitaji sema tu hapo mpangilio wa maneno kuunda sentensi kutoa maana ya moja kwa moja ni utata,.....
 
Hii nyumba itakuwa ya mvuta bangi au kichaa, kwahiyo mlango wa kuingilia sitting room utakuwa chooni
wenye fani wanaelewa maelezo ya mteja. unaonekana kabisa hii siyo fani yako maana naona unatafsiri kila kitu kwa jinsi kilivyo andikwa.
 
Hi Ramani aliye ichora imejitahidi sana. Hata kama yumo humu nampongeza . walaam naomba mawazo yenu
 
Attachments

  • 1457034856638.jpg
    1457034856638.jpg
    52.2 KB · Views: 713
Ni pm upate ramani nzuri, hope utaipenda na kama upo dar naweza kukupa offer ya kufanya site visit wakati wa setting out,mara nyingi mafundi wengi setting out ni tatizo na wanaweza kukujengea kwa uzoefu wao na sio utaalamu.
Nitumie namba yako tuwasiliane nione kazi zako
 
Ni pm upate ramani nzuri, hope utaipenda na kama upo dar naweza kukupa offer ya kufanya site visit wakati wa setting out,mara nyingi mafundi wengi setting out ni tatizo na wanaweza kukujengea kwa uzoefu wao na sio utaalamu.

uzoefu wa 3-infinity years ni bora sana kuliko utaalam.
 
uzoefu wa 3-infinity years ni bora sana kuliko utaalam.
Uzoefu haimanishi usahihi, nafanya kazi na mafundi wengi wenye uzoefu wa miaka mimngi kazini lakini kazi zao zina makosa mengi, na hawajui kuhoji kwanini hivi. Anaweza akafanya kitu tofauti ukimuuliza anakwambia mbona sehemu fulani nilikua nafanya hivi, hawana majibu ya kitaalamu.
 
Hi Ramani aliye ichora imejitahidi sana. Hata kama yumo humu nampongeza . walaam naomba mawazo yenu
Hapa mawazo utazongwaaa hadi kesho.
We kama una hela wasiliana na hao watu umeopewa hapo juu.

Kwanza mshauri mzuri lazima aje aone eneo lako,ili akushauri mfumo upi utafaa,na lazima mkae chini kitako akushauri kwa kina.Maana ukubwa wa Kiwanja chako pia ni tatizo
Sasa ukikaa nae ndio atakushauri namna ipi ya kufanya setting ya unavyohitaji,huku mkishauriana.

Lakini zaidi ya hapo,utajichanganua,utaambiwa tuma pesa Tigo pesa,unatumiwa google mchoro,halafu unaona umepata.Ukienda kwenye uhalisia unajikuta unapotea kabisaa.
 
Hata mimi nilijifunzia hyo 2007 na iko poa sana ukilinganisha na matoleo mengne ya nyuma ila kwa sasa naipenda hii 2015 imeongezewa features nyingi mpya
2015 version best
 
Vyumba 3
mikoja master bed room
master bedroom isiwe corridor moja na the vyunba vingine
sitting room na dining room visiwe na mlango wa kuingilia vyumba 3 tajwa hapo juu
Kitchen iwe na stoo
kiwanja ni 19x18
kibaraza cha nje sehemu ya jiko na kuingilia sitting room viwepo.

bughet laki 2
Ukipata mchoro karibu one2one focus limited tukujengee kwa garama Nafuu kabisa zaidi ya yote waweza kulipa kidogo kidogo Raman kwa wateja wetu ni bure kabisa
 
Wakuu habari zenu!

Nina kiwanja cha 60m*30m ningependa kupata ramani nzuri.

Nyumba ninazohitaji ni za kupangisha na zenye sifa zifuatazo:
1. Ziwe tatu ndani ya kiwanja cha 60m*30m.
2. Nyumba iwe na vyumba 2 kimoja self, seating room, dining room, kitchen, store na choo/bafu public lakini vimo ndani ya nyumba.
3. Zizingatie privacy ya wapangaji pia independent.

Needed immediately. Kazi kwenu wataalam na zinahitajika mapema sana.
 
Back
Top Bottom