EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

Yes, nipo mkuu, njoo ofisini tuyajenge, ofisini Hiko mwenge opposite Na TRA. Utapata ramani safi.
 
Mchoraji ni wewe mwenyewe kwa sababu inadesign mawazo na mahitaji ua nyumba yako. Labda useme huwezi kuweka mawazo yako kwenye karatasi..
 
Mchoraji ni wewe mwenyewe kwa sababu inadesign mawazo na mahitaji ua nyumba yako. Labda useme huwezi kuweka mawazo yako kwenye karatasi..
Sentensi yako ya mwisho ndiyo jibu mkuu. Mawazo ninayo yote Ilanahitaji mchora ramani professional ili nyumba zikae vizuri ikiwa pamoja na sysytem zote as maji taka pamoja na conditions nilizoziweka kwenye uzi wangu!
 
Sentensi yako ya mwisho ndiyo jibu mkuu. Mawazo ninayo yote Ilanahitaji mchora ramani professional ili nyumba zikae vizuri ikiwa pamoja na sysytem zote as maji taka pamoja na conditions nilizoziweka kwenye uzi wangu!
Nicheki kwa 0657849984 arch P.Kamata tufanye kazi
 
KIWANJA KIDOGO HICHO KWA MAHITAJI HAYO YOTE...MANAKE NYUMBA ITAKUWA HAINA HATA PARKING..SEPTIC TANKS...PRIVACY HAITAKUWEPO KWA MAANA KUTAKUWA NA UZITO KUZITENGANISHA KWA UFINYU HUO WAKIWANJA..NA KAMA UKIFANIKIWA KUJENGA..VYUMBA VITAKUWA VIDOGO MNOOO.NYUMBA HIZO LABDA UZIGEUZE HOSTEL KWAKWELI.
 
Hivi unajua 60*30 au? 1800 sqm hizo yumba tatu za requirements anazohitaji zinafiti kwenye only 500sqm
 
WhatsApp: +255 657 685 268

==> Ada ya Kuipata popote ulipo: Tshs. 500, 000/=
==> Waweza lipia kwa AWAMU
==> BATI 163
==> TOFALI 6671

RAMANI (NN15) ==
-- Aina ya nyumba = chumba master + bafu + dressing room, chumba cha kiume + bafu, Chumba cha Kike + bafu, Chumba cha mgeni + bafu,
sebure, Chumba cha kusomea, dinning, jiko, stoo, choo public, veranda ya mbele, veranda ya jikoni
-- Ukubwa wa kiwanja angalau = 800 SQM
-- Ukubwa wa nyumba = 239 SQM
-- Idadi ya TOFALI za MSINGI na KUTA = 1814 + 4857
-- Marumaru za sakafuni (30 x 30 cm) = boksi 154
-- Gypsum bodi = 70
-- Kuezeka paa
- BATI za kawaida = 163
- bati za migongo mipana (IT) = 405 m
- Decra tiles = 744 pcs

==> (Kama unahitaji) Kupata MCHANGANUO na MAKISIO YA GHARAMA ya KUIJENGA katika eneo lako ada: Tshs. 100,000/=

 
mbona ramani imepinda pinda hivo?
Hata dimensions haina
 
Mbona floor plan haipo sawa na maelezo yako? Ninakohitaji ramani kama unazo nyingi ziweke nione nikiona nzuri we can do business!
 
Sawa mkuu, hope umewasaidia sana walioko kwenye mchakato wa kujenga
 
mi nataka chumba cha kike tu? sh ngapi?

na kuna tofauti gan kati ya chumba cha kike na cha kiume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…