Mpalisya Imbogo
Member
- Nov 16, 2009
- 53
- 10
hidekel Unatafuta architect (msanifu-majengo)? Ramani kimsingi inatakiwa kutoka kwako. Kwa kuanzia,wewe ndiye unajua unataka nini(wants and needs)! Mtafute architect, m-discuss naye mahitaji yako na kutokea hapo yeye atakushauri na/au kusanifu nyumba inayokufaa na baadae kukupa ramani tayari kwa mchakato wa ujenzi. Pamoja na maeneo walioshauri wadau hapo juu, unaweza kwenda pale chuo kukuu cha ardhi (kama lengo ni kupata architect).Hi wana jamvi
naomba kujua wapi nitapata ramani ya nyumba (Residential ). nina hasira sana na ujenzi
asanteni
Wizara ya Ardhi ghorofa ya 8 au 9. National Housing Building Research Unit wapo Mwenge njia ya kwenda Mlimani City. baada ya hosp ya JWTZ,ni kitengo cha wizara ya ardhi wanashughulika na ujenzi wa nyumba zenye gharama nafuu.
sipati picha! 5 years sleepless nights, halafu services kwa 50,000/- kwel akutukanaye hakuchagulii tusi! ushauri kuna jamaa yupo pale ubungo stand ya dala dala anauza hata kwa buku 2 unapata!
nahitaji mtu wa kunichorea ramani ya nyumba...nyumba ya kawaida yenye vyumba 3 na sebule.
kwa nn nimuongezee gharama! wakati za bei nafuu zipo! nimekumbuka mwingine yupo posta mpya! ila yeye kidogo kachangamka inaweza kufika bk 5!Kwa nini usingenunua wewe kwa hiyo buku 2 halaf ukamuuzia yeye kwa bei mtakayo elewana..............au na wewe ndo walewale nini labda?.
nahitaji mtu wa kunichorea ramani ya nyumba...nyumba ya kawaida yenye vyumba 3 na sebule.
sipati picha! 5 years sleepless nights, halafu services kwa 50,000/- kwel akutukanaye hakuchagulii tusi! ushauri kuna jamaa yupo pale ubungo stand ya dala dala anauza hata kwa buku 2 unapata!
Mjomba hebu kua serious bana, watu wamesomea hiyo profession alafu unatoa offer ya 50,000? Hata ramani banda la uwani haitoshi
kwa nn nimuongezee gharama! wakati za bei nafuu zipo! nimekumbuka mwingine yupo posta mpya! ila yeye kidogo kachangamka inaweza kufika bk 5!