salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 652
Wewe ni kipusaaaa tunataka mambo mazuri kama haya sio watu kuposti migegedo tuuuuNakuletea ofaa pekee ya michoro iliyo tayari kwa ujenzi katika picha hapo na mingine mingi inapatikana. Jipatie kitita kilichokamilika michoro yote yaani
1.Floor plan,
2.Detailed design,
3.Roof plan,
4.Section plan,
5.Elevation 2D,
6.3D computer model view,
7.Door detail,
8.Sewage sytem
Kwa BEI poaaa. Chagua namba ya design iliyopo hapo kisha itume kwa 0787459850 kisha utapewa vocha. Usipitwe na ofaa hii muhimu.
Michoro iliyochapwa kwenye karatasi ambayo hata ukiilowanisha na maji wino wake haufutiki daima.
Wewe ni kipusaaaa tunataka mambo mazuri kama haya sio watu kuposti migegedo tuuuu
Natafuta tuisheni fiii
Yeah, design ni nyingi hizo ni sample tu
Mkuu hii ramani inakwenda kwa shilingi ngapiLodge yenye vyumba 25 vya kulala, sehemu ya ukumbi wa mikutano, restraunt, mini bar, etc
Apartments of triple bedrooms
Apartments of triple bedrooms
Habari za leo? Naomba utoe maelezo fasaha juu ya ofisi yako ilipo? njia ya mawasiliano, na ningependa kujua kama jumamosi au jumapili unapatikana kati ya saa nne mpaka saa saba, siku nyingine zote ni ngumu sana kuwasiliana maana wote tunahemea juani? Sitaki mawasiliano ya simu ni ana kwa na ofisini,
big up mkuu umeonesha kipaji,ungejaribu pia kuwafata NHC
Hongera kwa ubunifu huo ili uweze kupata ada ya shule.Hata hivyo ni vyema ukajua kuwa sheria ya Tanzania..sheria no 4 ya 2010 (the architects and quantity surveyors registration act no 4 of 2010) inakataza mtu yoyote asiyesajiliwa na board kufanya kazi hizi. Pia inakataza hata wale waliosajiliwa kujitangaza. kwa hali hiyo wewe km ni mwanafunzi bila shaka huna usajili wa kufanya kazi hii..lakini pia hata kama ungekuwa umesajiliwa basi hurusiwi kujitangaza kwa njia hii. maana ramani haziuzwi km tunavyouza magari...au nyumba bali ule ni utaalamu na ukimuhudumia mtu pia utabeba liability ya kazi uliyofanya( kisheria). This is just an information!!!Asante wazo zuri, mi Nasaka tu ada nisome, sifanyi biashara pia mashirika kama hayo sijayafikia. Chochote ulichonacho nichangie.
Hongera kwa ubunifu huo ili uweze kupata ada ya shule.Hata hivyo ni vyema ukajua kuwa sheria ya Tanzania..sheria no 4 ya 2010 (the architects and quantity surveyors registration act no 4 of 2010) inakataza mtu yoyote asiyesajiliwa na board kufanya kazi hizi. Pia inakataza hata wale waliosajiliwa kujitangaza. kwa hali hiyo wewe km ni mwanafunzi bila shaka huna usajili wa kufanya kazi hii..lakini pia hata kama ungekuwa umesajiliwa basi hurusiwi kujitangaza kwa njia hii. maana ramani haziuzwi km tunavyouza magari...au nyumba bali ule ni utaalamu na ukimuhudumia mtu pia utabeba liability ya kazi uliyofanya( kisheria). This is just an information!!!