Jerhy
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 3,134
- 998
Kuna Hii Nyumba Naipenda Sana Na Ningetamani One Day Nipate Ramani yake...
Nafikiri toa oda tudesign kama hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Hii Nyumba Naipenda Sana Na Ningetamani One Day Nipate Ramani yake...
Mkuu three bedrooms, one master and the remaining rooms ziwe za kawaida! jiko, public toilet na sitting room! unaweza nitumia sample designNi vema tukafanya hivyo, upate kitu halisi toka site
weka mawasiliano yakoMkuu three bedrooms, one master and the remaining rooms ziwe za kawaida! jiko, public toilet na sitting room! unaweza nitumia sample design
Wenzetu wa nchi za baridi wanaweza kuweka jiko katikati ya nyumba bila tatizo. Kwa nchi/sehemu za joto kuweka jiko katikati ni noma.
Jiko kama lipo kati vile.
sawa mkuu nitakutafutaNi pm mkuu tupeane mawasiliano niifanyie designing
Huu mchoro uliouweka umekaa kibangi bangi aisee
mbona umejikadiria nyingi sana...ila ukipata nipe nitoe copy....Vyumba 3
mikoja master bed room
master bedroom isiwe corridor moja na the vyunba vingine
sitting room na dining room visiwe na mlango wa kuingilia vyumba 3 tajwa hapo juu
Kitchen iwe na stoo
kiwanja ni 19x18
kibaraza cha nje sehemu ya jiko na kuingilia sitting room viwepo.
bughet laki 2
Rangi nyeusi??? Hyo ni background kwenye hyo software ya kuchorea inaitwa AutoCAD haihusiani na rangi ya nyumbaHuu mchoro uliouweka umekaa kibangi bangi aisee
We jiko la nyumba za kiuswahili limekaa katikati,hahaha nimecheka sana huo mchoro ndiomaana umewekwa rangi nyeusi aisee,haufai hata kwa kuku.
Hahaha,si ndio hapo,huu haufai kabisaaJiko kama lipo kati vile.
Asante mkuu kwa kunifahamishaRangi nyeusi??? Hyo ni background kwenye hyo software ya kuchorea inaitwa AutoCAD haihusiani na rangi ya nyumba
jiko kiati mkuu..loh
Tatizo lililopo sasa wengi wanapenda kudowload michoro online bila kujua kama inakidhi mahitaji ya mazingira husikaAsante mkuu kwa kunifahamisha
Ila concern yangu ilikuwa jiko kuwa kati ya nyumba,hapo sasa
Halafu Kitchen yard imekaa sipo kabisaa