EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

Ni vema tukafanya hivyo, upate kitu halisi toka site
Mkuu three bedrooms, one master and the remaining rooms ziwe za kawaida! jiko, public toilet na sitting room! unaweza nitumia sample design
 
Vyumba 3
mikoja master bed room
master bedroom isiwe corridor moja na the vyunba vingine
sitting room na dining room visiwe na mlango wa kuingilia vyumba 3 tajwa hapo juu
Kitchen iwe na stoo
kiwanja ni 19x18
kibaraza cha nje sehemu ya jiko na kuingilia sitting room viwepo.

bughet laki 2
 
1456917471786.jpg
 
Ni pm mkuu tupeane mawasiliano niifanyie designing
 
nimependa haya maelezo yako

sitting room na dining room visiwe na mlango wa kuingilia vyumba 3 tajwa hapo juu

kwa hiyo watu wanaingilia vyumbani kupitia jikoni?
 
Vyumba 3
mikoja master bed room
master bedroom isiwe corridor moja na the vyunba vingine
sitting room na dining room visiwe na mlango wa kuingilia vyumba 3 tajwa hapo juu
Kitchen iwe na stoo
kiwanja ni 19x18
kibaraza cha nje sehemu ya jiko na kuingilia sitting room viwepo.

bughet laki 2
mbona umejikadiria nyingi sana...ila ukipata nipe nitoe copy....
 
Huu mchoro uliouweka umekaa kibangi bangi aisee
We jiko la nyumba za kiuswahili limekaa katikati,hahaha nimecheka sana huo mchoro ndiomaana umewekwa rangi nyeusi aisee,haufai hata kwa kuku.
Rangi nyeusi??? Hyo ni background kwenye hyo software ya kuchorea inaitwa AutoCAD haihusiani na rangi ya nyumba
 
Rangi nyeusi??? Hyo ni background kwenye hyo software ya kuchorea inaitwa AutoCAD haihusiani na rangi ya nyumba
Asante mkuu kwa kunifahamisha
Ila concern yangu ilikuwa jiko kuwa kati ya nyumba,hapo sasa
Halafu Kitchen yard imekaa sipo kabisaa
 
Asante mkuu kwa kunifahamisha
Ila concern yangu ilikuwa jiko kuwa kati ya nyumba,hapo sasa
Halafu Kitchen yard imekaa sipo kabisaa
Tatizo lililopo sasa wengi wanapenda kudowload michoro online bila kujua kama inakidhi mahitaji ya mazingira husika
 
Michoro nimechora mwenyewe. Nilikuwa nampa mfano. Bahati mbaya ni mtindo ya ulaya, kusudi ya kuweka sebule nyuma ni kuweza kuaona garden. Kwenye Kitchen yard kuna ukuta.
 
Back
Top Bottom