Huwa wanakuwa hawako stable kidogo , ni wachache ukikutana nao wametulia sana, the rest ni tatizoAisee kama mwanamke amelelewa na mama pekee jiandae na visa vinavyohusu feminism ubishi, ujuaji, kiburi na tabia za kimalaya n.k but kama kalelewa na baba pekee jiandae kupambana na tatizo la mfumo dume utakaokuwa unaoperate ndani ya huyo mwanamke.
Fact 100%Huwa wanakuwa hawako stable kidogo , ni wachache ukikutana nao wametulia sana, the rest ni tatizo
Kulelewa na single mum kunawafanya waamin they can do anything alone, means mtu yoyote atakuja kwenye maisha yake hana maana
Nilishawahi kuwa nae, yeye anataka aonekane kuwa ndie mwenye akili Sana maisha kuliko Mimi. Kila anachofanya anataka asifiwe na usipofanya Hivyo ananuna nakusema humpendi. Anapenda kuwa na marafiki wa kiume ambao wengine wanammega.Aisee kama mwanamke amelelewa na mama pekee jiandae na visa vinavyohusu feminism ubishi, ujuaji, kiburi na tabia za kimalaya n.k but kama kalelewa na baba pekee jiandae kupambana na tatizo la mfumo dume utakaokuwa unaoperate ndani ya huyo mwanamke.
Wengi ni MASUPAWUMENI,ubabe ubabeni😄Habari zenu wakuu, naomba kupata dokezo ni changamoto zipi mlikutananazo kwa wale waliooa mabinti waliolelewa ma mzazi mmoja? Hasa mama pekee baada ya ndoa ya wazazi wake kuvunjika au kuoa wanawake wengine (polygamy)
Umeongea ukweli mtupu asilimia 100 na nusu.Yani kumbe hizi kesi huwa nikweli na zinafanana.!Nilishawahi kuwa nae, yeye anataka aonekane kuwa ndie mwenye akili Sana maisha kuliko Mimi. Kila anachofanya anataka asifiwe na usipofanya Hivyo ananuna nakusema humpendi. Anapenda kuwa na marafiki wa kiume ambao wengine wanammega.
Of course yalinishinda!!
Nashangaa sana mtu mwenye akili kama wewe uko zako kimbiji huko alafu Babu Tale ni mbunge au wewe ni mwanasaikolojia?1. Anakuwa na ushindani kwasababu haamini katika uwepo wa mwanaume kusimamia maamuzi ya mwisho katika familia. Atakuwa mpinzani badala ya kuwa mshirika wako wa kifamilia.
2. Hawajui maana ya uongozi wa mwanaume katika ndoa na familia hujiona wao ndio viongozi.
3. Atataka watoto washike mafunzo na misimamo yake yeye kwanza na sio wewe.
4. Wanamaamuzi binafsi hawajitazamii kama watu wa kupangiwa bali wa kupanga na kuamua.
5. Sio mama wazuri kwa watoto sababu wanakwenda na mifumo ambayo inakinzana na ujenzi wa familia bora ya baba,mama na watoto.
6. Sio washika mafunzo ya kiimani sababu hawakulelewa kiimani wengi wao hujikulia tu wenyewe, akienda nyumba ya ibada ni ile kawaida tu ya muumini ila kushika na kutii mafunzo ya kiimani hapo sahau. Wapo against sana na mafunzo ya vitabu vya MUNGU.
7. Ndoa kwao ni sehemu ya kuchuma na kujijenga kiuchumi sio taasisi ya kujenga familia na jamii bora.
8. Watakuja na trauma za mama zao na watawafanyia watoto wako trauma dumping na trauma bonding na kutengeneza watoto wenye shida za kimalezi.
9. Hawapendi kuachia wanachokiamini ambacho walifunzwa na mama zao.
10. Tegemea kuishi na mtu mwenye matukio ya hovyo ambayo ulikuwa unaona kwenye tamthiria za tv tu.
Kuepuka yote haya mpeleke mwanamke ambaye ametokes familia ya single mother house hold kwenye taasisi za ushauri nasaha yaani Mental Health Therapy akakutane na wataalamu wanafanye nae diagnosis,maana huwa wanajiona wapo sawa hadi pale mambo yakishika kasi umeshaoa ndipo anaanza sasa kukuonyesha asili yake.
Yaani wapo kama simba. Akiwa kadogo katakuwa ni sawa na paka tu,utacheza nako vizuri tu. Ila akishakuwa mkubwa sasa balaa unalo aidha akumalize au umtokomeze.
Chukua hatua,epuka matatizo.
Mkuu hapa umeongezeka kila kitu nimekuona kwa huyu,Nashangaa sana mtu mwenye akili kama wewe uko zako kimbiji huko alafu Babu Tale ni mbunge au wewe ni mwanasaikolojia?
Kwamba hawajielewi au?Ngonjeni nilewe nitasema yote ila mwanamke aliyelelewa na mama na single maza ni kama Houth wa Yemen na Gaza wana kaufanano flani hivi
Kama hamjazaa watoto piga chiniMkuu hapa umeongezeka kila kitu nimekuona kwa huyu,
Aisee, kumbe ni janga kwelikweli, mpaka nishawaza kutafuta niongeze mke mwingine, hakuna kitu kinakera kama kuona mwanamke ndo anapambana kujifanya ndio contoller wa familia kimaamuzi na kupinga mawazo ya baba,
Halafu pia watu wa aina hii kila saa anaongea na mama yake, na ukitoa wazo wanaenda kudiscuss na mama yake, akipinga jua itakatakiwa na ikikubaliwa ndo na yeye atakubaliana na wazo lako, hii inakera sana
Inataka roho ngumu sana kuwanyoosha ningekupa mbinu zangu lakini kama una moyo mdogo huwezi kabisa alafu ukute umetoka kibaruani huko tabu tubu majungu fitna umefokewa kama mtoto unarudi nyumbani unakutana na ya mke aiseeMkuu hapa umeongezeka kila kitu nimekuona kwa huyu,
Aisee, kumbe ni janga kwelikweli, mpaka nishawaza kutafuta niongeze mke mwingine, hakuna kitu kinakera kama kuona mwanamke ndo anapambana kujifanya ndio contoller wa familia kimaamuzi na kupinga mawazo ya baba,
Halafu pia watu wa aina hii kila saa anaongea na mama yake, na ukitoa wazo wanaenda kudiscuss na mama yake, akipinga jua itakatakiwa na ikikubaliwa ndo na yeye atakubaliana na wazo lako, hii inakera sana
Nakazia…..bro to bro sauti ya kiume under the roof kwa miaka mingi niamini iyo ni sauti ya mamlaka mtoto atakae zaliwa kwenye iyo familia kutonyooka ni nadra sana one of my advice from my mentor ilikuaga usioe single mother au mwanamke anatokea familia ya kulelewa na mama peke yake saa hii mimi ni mama yeyoo tunakula burudani…ni hayo tu1. Anakuwa na ushindani kwasababu haamini katika uwepo wa mwanaume kusimamia maamuzi ya mwisho katika familia. Atakuwa mpinzani badala ya kuwa mshirika wako wa kifamilia.
2. Hawajui maana ya uongozi wa mwanaume katika ndoa na familia hujiona wao ndio viongozi.
3. Atataka watoto washike mafunzo na misimamo yake yeye kwanza na sio wewe.
4. Wanamaamuzi binafsi hawajitazamii kama watu wa kupangiwa bali wa kupanga na kuamua.
5. Sio mama wazuri kwa watoto sababu wanakwenda na mifumo ambayo inakinzana na ujenzi wa familia bora ya baba,mama na watoto.
6. Sio washika mafunzo ya kiimani sababu hawakulelewa kiimani wengi wao hujikulia tu wenyewe, akienda nyumba ya ibada ni ile kawaida tu ya muumini ila kushika na kutii mafunzo ya kiimani hapo sahau. Wapo against sana na mafunzo ya vitabu vya MUNGU.
7. Ndoa kwao ni sehemu ya kuchuma na kujijenga kiuchumi sio taasisi ya kujenga familia na jamii bora.
8. Watakuja na trauma za mama zao na watawafanyia watoto wako trauma dumping na trauma bonding na kutengeneza watoto wenye shida za kimalezi.
9. Hawapendi kuachia wanachokiamini ambacho walifunzwa na mama zao.
10. Tegemea kuishi na mtu mwenye matukio ya hovyo ambayo ulikuwa unaona kwenye tamthiria za tv tu.
Kuepuka yote haya mpeleke mwanamke ambaye ametokes familia ya single mother house hold kwenye taasisi za ushauri nasaha yaani Mental Health Therapy akakutane na wataalamu wanafanye nae diagnosis,maana huwa wanajiona wapo sawa hadi pale mambo yakishika kasi umeshaoa ndipo anaanza sasa kukuonyesha asili yake.
Yaani wapo kama simba. Akiwa kadogo katakuwa ni sawa na paka tu,utacheza nako vizuri tu. Ila akishakuwa mkubwa sasa balaa unalo aidha akumalize au umtokomeze.
Chukua hatua,epuka matatizo.
naomba hizo mbinu mkuu, kabla sijafikiria kuoa mke mwingineInataka roho ngumu sana kuwanyoosha ningekupa mbinu zangu lakini kama una moyo mdogo huwezi kabisa alafu ukute umetoka kibaruani huko tabu tubu majungu fitna umefokewa kama mtoto unarudi nyumbani unakutana na ya mke aisee
Hapa kwenye kuongea na mama Yake upo sahihi kabisa.Mkuu hapa umeongezeka kila kitu nimekuona kwa huyu,