Windson JF-Expert Member Joined Jan 5, 2019 Posts 210 Reaction score 420 May 18, 2025 Thread starter #21 Dalali wa mjini said: Hapa kwenye kuongea na mama Yake upo sahihi kabisa. Simu kubwa ni mama hata mkigombana anakimbilia kusema namwambia mama huwezi kusikia neno baba la Kwanza katika ugomvi wenu Click to expand... hatari sana mkuu, inakera mno
Dalali wa mjini said: Hapa kwenye kuongea na mama Yake upo sahihi kabisa. Simu kubwa ni mama hata mkigombana anakimbilia kusema namwambia mama huwezi kusikia neno baba la Kwanza katika ugomvi wenu Click to expand... hatari sana mkuu, inakera mno
N Not Guilty Member Joined Sep 7, 2016 Posts 68 Reaction score 96 May 18, 2025 #22 Toa hizo mbinu ili watu wajifunze na wawafunze wengine wanaoelekea kupata shida kama ya mtoa mada hapo juu
Toa hizo mbinu ili watu wajifunze na wawafunze wengine wanaoelekea kupata shida kama ya mtoa mada hapo juu