Experience yangu JF katika kutafuta huba la moyo wangu 😘😘😘

Experience yangu JF katika kutafuta huba la moyo wangu 😘😘😘

"Nilikutana nae 2014, tukapendana, nikazingua, nikaomba msamaha, anakisamehe, mwanaume bora kuliko wote"

Nifah ebu siku fanya mpango utupe hio story nzima maana kila siku unatupa introduction tuu alaf unarudi maneno yaleyale.

Waingereza husema;
"PUT UP OR SHUT UP"
(Jokes)
🤣🤣🤣🤣 Mpaka sasa script unayo tayari, subiri movie kamili… very soon usijali.
 
Kumekucha....

Ila ya huko PM na kwingineko jitahidi yabakie huko huko. Kuyaleta hapa public hakuna faida yo yote sis mbali na kufurahisha baraza na makundi sogozi ya humu.

Ila inaonekana umeanza kukua sasa. Songa mbele mpaka umpate yule uliyeandikiwa na Mungu wako [emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nafikiri nimebahatika, wa kwangu nilifahamiana nae tokea 2014 baadae mambo yakakorogeka hapo katikati ila nilimrudia na mambo ni mazuri sana.

Naweza kusema kwa uhakika ndio mwanaume bora kupata kutokea ktk maisha yangu.
So yeah, wanaume bora hata hapa JF wapo pia.
Nakazia wapooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
🤣🤣🤣 kuachana bado ndio kwanza tumeanza, ngoja nimwambie aingie mara moja akupe hi!
Mapenzi yamemnogea hata kuingia huku ss hivi hataki anasikia uvivu 🤣🤣🤣
Tukomesheee tukomesheee! Na inaonekana yamemnogea kweli ana siku hajaonekana humu!
Huyo mganga wako usimuache🤠!
 
Back
Top Bottom