Experience yangu JF katika kutafuta huba la moyo wangu 😘😘😘

Naona humu ndani kuna heka heka sana ikijulikana unamahusiano na fulani maana itatafutwa kila juhudi ukose Amani ya moyo au siku mkiachana uanze kukejeliwa..

Ni bora kuwa low key 😁
Hiyo ni asili ya binadamu haiepukiki dear.

Hata ndugu na marafiki wapo wanaokuteta na kutamani kuwavuruga wewe na shemeji.

Tutaishi humo, asante kwa maoni mwaya.
Good day
 

Kaka tulia Maua afunguke [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naomba msimbane shosti yangu puliiizzz
 

Hongera sana!
Tupe story yako kwa ufupi ili na sie tupate moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…