Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Napenda mwanaume mpole lakini si aliyepitiliza.awe mpole,tucheke tufurahi lakini nikileta upuuzi nena nami kwa lugha ya vitasa😁Tangu 2019-2023 bado haujapata mwanaume?
Ila shida ya mimi ni mpole sana na nasikia wanawake hawataki mwanaume mpole sana