G777
JF-Expert Member
- Aug 1, 2020
- 227
- 604
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Hiyo hyo valve train Ni DOHC 16valveSi engine ya m13a kama ya suzuki?
Asante.... Kwa experiense yako ni brand zipi za nissan za kuavoid.. maana kwa japan mm ni mpenzi wa nissan hizi pathfinder, navara, murano yenye engine q35 six cylinder si hizi 4 cylnder. Na kama ninayo nn cha kufanya iwe salama?
Asnt Sana japo hizo plug ndonilizoweka hzo NGK BKR6E-11,lakini Kuna Mtu alinishauri pia Ni angalia Gearbox mounting Kama ziko sawa kwani hzi pia znaweza kusababisha mtetemeko?NGK : BKR6E-11 (Nickel spark plug)
DENSO : K20PR-U11 (Nickel spark plug)
Asnt Sana japo hizo plug ndonilizoweka hzo NGK BKR6E-11,lakini Kuna Mtu alinishauri pia Ni angalia Gearbox mounting Kama ziko sawa kwani hzi pia znaweza kusababisha mtetemeko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani nieleweshe kidogoKuna BJR6EYA11 na BKR6E-11. Hizi plug haziko sawa.
Asante Sana Mkuu nitaleta Mrejesho zoez likikamilika!Angalia vizuri plug ulizofunga. Kama kweli kutetemeka kunasababishwa na plug.
Shukran sana mkuu.1. Cube 2009-2013
2. Murano 2003-2017
3. Juke 2010-2017
4. Maxima 2004-2016
Kuna Brand zingine za nissan Kama Rogue, Rogue sport, Altima, Sentra, Versa na Versa Note sijaziona sana Tz lakini nazo kina miaka ina majanga.
Hizi ni baadhi tu. Wanasema zikishaanza kugonga 130k km gearbox zinaanza kusumbua.
Mkuu, hapa ukiangalia list, 90%+ zinakuja na gear box ya CVT.. vipi pamoja na kua na inherent weaknesses za design, je regular changing ya CVT fluid ie After every 30,000km (being CVT fluid NS-2 or NS-3) haiwezi saidia kuongeza uhai wa hizi gear box za jatco?1. Cube 2009-2013
2. Murano 2003-2017
3. Juke 2010-2017
4. Maxima 2004-2016
Kuna Brand zingine za nissan Kama Rogue, Rogue sport, Altima, Sentra, Versa na Versa Note sijaziona sana Tz lakini nazo kina miaka ina majanga.
Hizi ni baadhi tu. Wanasema zikishaanza kugonga 130k km gearbox zinaanza kusumbua.
Hizi gear box za CVT za Nissan kutoka Jatco ugonjwa wake unaaza hivi.Mkuu, hapa ukiangalia list, 90%+ zinakuja na gear box ya CVT.. vipi pamoja na kua na inherent weaknesses za design, je regular changing ya CVT fluid ie After every 30,000km (being CVT fluid NS-2 or NS-3) haiwezi saidia kuongeza uhai wa hizi gear box za jatco?
Yaani kama wanadamu,tunajiona wazima wa afya,siku bahati mbaya ukaenda kufanya check up mpaka Dakitari anakuuliza umekuja na nani? 🙇♂️Leo nimejifunza kuwa kumbe gari inaweza ikawa haiwaki taa yoyote ya dash board ila ukipima unapata code!
Mkuu, hapa ukiangalia list, 90%+ zinakuja na gear box ya CVT.. vipi pamoja na kua na inherent weaknesses za design, je regular changing ya CVT fluid ie After every 30,000km (being CVT fluid NS-2 or NS-3) haiwezi saidia kuongeza uhai wa hizi gear box za jatco?
Yaani kama wanadamu,tunajiona wazima wa afya,siku bahati mbaya ukaenda kufanya check up mpaka Dakitari anakuuliza umekuja na nani? 🙇♂️
Hizi gear box za CVT za Nissan kutoka Jatco ugonjwa wake unaaza hivi.
...Kutembea nayo wakati fluid ipo chini ya minimum level..
...Kujaza fluid kupitiliza
...Kutumia fluid nje ya zilizopendekezwa
...Kuondoa gari kwa kukanyaga mafuta mengi..
CVT inataka uiche ichanganye yenyewe na inachanganya faster.
Boss nina volkswagen polo ya 2006 hapa.
ina tatizo moja naomba msaada.
kila siku Asubuhi napata shida kuiwasha, yaani inawaka vizuri tu then ndani ya sekunde kadhaa ina stall... nikijaribu mara kadhaa haraka haraka naingiza gia nakukanyanga accelerator mpaka mwisho, inakua na power ndogo sana inaondoka kwa shida, then inachanganya haraka na inakua normal.
baada ya apo hata nikizima nkaiwasha inawaka vizuri tu.. shida ni hapo nikizima niache mpaka asubuhi ndo inaleta shida.
pia ikikaa idle mda kwa muda mrefu unazima yenyewe.
nawasilisha
ina maana engine inakuwa haina nguvu ikiwa ya baridi?