JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
- Thread starter
- #41
Yes nadhani ni hii sababu maana ikishapata joto tu basi inapiga mzigo vizuri tu.
au mfano nkaiwasha mchana ikiwa imeshapigwa na jua inawaka vizuri tu.
I suspect mojawapo ya temperature sensor ina shida.
Uzuri kama ni hizo kweli unaweza kuipa joto kwa njia nyingine halafu ukawasha gari hata kama ni asubuhi.