JituMirabaMinne JF-Expert Member Joined May 4, 2020 Posts 3,381 Reaction score 9,744 Jun 2, 2021 Thread starter #41 mutu murefu said: Yes nadhani ni hii sababu maana ikishapata joto tu basi inapiga mzigo vizuri tu. au mfano nkaiwasha mchana ikiwa imeshapigwa na jua inawaka vizuri tu. Click to expand... I suspect mojawapo ya temperature sensor ina shida. Uzuri kama ni hizo kweli unaweza kuipa joto kwa njia nyingine halafu ukawasha gari hata kama ni asubuhi.
mutu murefu said: Yes nadhani ni hii sababu maana ikishapata joto tu basi inapiga mzigo vizuri tu. au mfano nkaiwasha mchana ikiwa imeshapigwa na jua inawaka vizuri tu. Click to expand... I suspect mojawapo ya temperature sensor ina shida. Uzuri kama ni hizo kweli unaweza kuipa joto kwa njia nyingine halafu ukawasha gari hata kama ni asubuhi.