Experience yangu na wanawake wanaoitwa jina Flora

Experience yangu na wanawake wanaoitwa jina Flora

Akina Flora wengi wanakuwaga wapiganaji sana kwenye maisha.

Wengi wanakuwaga smart sana kwenye mapambano ya maisha.

Na wengi wao huwa wanafanikiwa sana kiuchumi.

Sijawahi kumfahamu mwanamke anae itwa Flora ambae sio mpiganaji kwenye maisha.
Dah!... Hii Kali... Kwenye hiyo list ya akina frola... Na frola machepele nimjuaye nae yumo!?
 
Ni wapambanaji, heartbrokers na malaya sana wa kimnya kimnya.

Akijipata hawezi kaa na mwanaume mmoja
 
Back
Top Bottom