Experience yangu ya matumizi ya tiGO fiber

Mkuu hiyo 50K ya Halotel ni fibre au Wifi(Router) na speed ikoje.
Ni Laini ya m2m, ni unlimited kwenye spidi ya kudownload, spidi ya ku-upload kuna nyakati inakuwa Chini Sana Kwa kiwango cha 2mbps kuanzia mchana spidi na yenyewe inaongezeka, hii ni Kasi ninayoipata Kwa wawakati huu
Screenshot_2024-08-15-18-10-57-247_org.zwanoo.android.speedtest.jpg

Na nimeshadownload Zaid ya GB 80
 
Ni Laini ya m2m, ni unlimited kwenye spidi ya kudownload, spidi ya ku-upload kuna nyakati inakuwa Chini Sana Kwa kiwango cha 2mbps kuanzia mchana spidi na yenyewe inaongezeka, hii ni Kasi ninayoipata Kwa wawakati huu
View attachment 3071023

Na nimeshadownload Zaid ya GB 80
Upatikanaji wake ukoje, je hawana data cap.
 
Sijaskiaga wanazitangaza wako kimya tu.
 
Upatikanaji wake ukoje, je hawana data cap.
Nenda kwenye maduka ya halotel utaipata, hili bando linaandikwa GB 24 Kwa elfu 50, yaani baada hapo inatarajiwa spidi kushuka, Lakini hata ikiisha spdidi inabaki kuwa kubwa mara nyingi Mimi napata around 15mbps Hadi hiyo 60mbps
 
Nimekupata mkuu.
 
Kuna mdau kwenye ule uzi wa Vifurushi visivyo rasmi nimeona analalamika kuwa akifika 75GB speed ina drop, vipi wewe umeitumia hiyo huduma kwa muda gani sasa.
 
Mimi niliexperience kushuka Kwa spidi Kwa masaa machache baada ya GB 24 kuisha ilishuka hadi 3.7mbps, Ila baadae spidi ikaongezeka na haijapungua, japo spidi ya ku-upload nyakati za asubuhi huwa IPO Chini kwangu.
 
Mkuu habari. Kwa mfano nikaamua kuiweka huduma hii kwenye eneo langu la biashara ili kuvutia wateja wapate free wi-Fi wanapokuja kufanya manunuzi ya bidhaa, je inaweza kunipatia faida?
Itakupaje faida mkuu? Hasara tu.
1. Mteja anekuja kununua bidhaa,na ana mda wa kukaa kutumia internet,ni mteja gani? Kama ni hotel au baa,hospital,shughuli ambazo mteja ana mda wa kukaa na kusubiri,hapo sawa.
2. Wanapokuja kutumia internet,utafnya kazi ya kutoa password au utaiacha anaejisikia atumie? Jibu ni hapana.

Uwezekano wa hilo jambo,utahitaji vifaa vingine kuweza kusaidia hilo zoezi,ujue mtu akiwa hapo anaruhusiwa kutumia nini na nini,na ikionekana labda amekaa dakika kadhaa ikate yenyewe, ndo labda ungeweza. Vinginevyo, waache watumie za kwao.
 
Mkuu habari. Kwa mfano nikaamua kuiweka huduma hii kwenye eneo langu la biashara ili kuvutia wateja wapate free wi-Fi wanapokuja kufanya manunuzi ya bidhaa, je inaweza kunipatia faida?
Fursa hii
 
Mkuu bado hujapata mrejesho kuhusu Habari node?
Wao hawana shida ili mradi ulipo wapo.
Nako ishi mkuu bado, ila maeneo ya buswelu, Nyamohongoro hiyo yote option zote zipo Ttcl na Habari node. Na Halotel pia niliona wanasambaza, changamoto ya kuishi makazi mapya ndio inaniponza.
 
Sawa mkuu. Hapa nilipo wamefika. Ndiyo maana nikaja kutizama humu kama kuna mtu alishawahi kutumia huduma yao ya internet services niweze kupata maoni yao.
 
Back
Top Bottom