Experience yangu ya matumizi ya tiGO fiber

Experience yangu ya matumizi ya tiGO fiber

We omba ya matumizi ya nyumbani (shared) then fungua kwenye biashara yako cha muhimu iwe unlimited, ukiomba ya biashara (dedicated) utashangaa unaambiwa milioni kadhaa kwa mwezi.
Sawa mkuu, ambayo ina gharimu kiasi gani?
 
Sawa mkuu, ambayo ina gharimu kiasi gani?
TTCL 55,000 fiber 20mbps
Zuku 69,000 fiber 10mbps
Airtel 70,000 5G 10mbps
Tigo 70,000 5G na fiber 10mbps
Halotel 50,000 4G na 80,000 fiber 20mbps etc.

Hio Halotel ya 50,000 ni unlimited data unlimited speed kutegemea na ulipo sema 4G ni inferior kwa Fiber, prioritize Fiber kwanza ukikosa nenda 5G ukikosa kabisa ndio 4G.
 
TTCL 55,000 fiber 20mbps
Zuku 69,000 fiber 10mbps
Airtel 70,000 5G 10mbps
Tigo 70,000 5G na fiber 10mbps
Halotel 50,000 4G na 80,000 fiber 20mbps etc.

Hio Halotel ya 50,000 ni unlimited data unlimited speed kutegemea na ulipo sema 4G ni inferior kwa Fiber, prioritize Fiber kwanza ukikosa nenda 5G ukikosa kabisa ndio 4G.
Eneo nilipo kuna fiber ya TTCL karibu, haizidi mita 40 toka nilipo. Wameipitisha chini ya ardhi. Best option inaweza kuwa ipi kutokana na uzoefu wako mkuu
 
Swali gumu sana, inaweza na isiweze depending na biashara mfano:
Unamiliki Bar mtu anakuja kwa ajili ya Wifi tu anakunywa soda moja anakaa masaa 3.
Kwa Barbershop iko poa sana, nimewai ona inavuta sana wateja.
Pale K'Nyama jirani na ofisi za tigo kuna sijui baa gani pale kijiji cha makumbusho, wi-fi ipo ila bei ya vinywaji sasa, soda 3k
 
Acheni roho mbaya matajiri mtu 7melipia unlimited data unaweka password yanini sasa kwamba data zitaisha au?
sasa yeye anataka kuvutia watu kwenye biashara yake, bila kuweka password si watu watakuwa badala ya kuja kwake wanaenda kweingine lakini internet yake wanatumia bure. Hapo hoja ni kwamba unapokea password pale ukifika kwa biashara ukanunua kitu kwa siku hiyo napo sio unanunua soda ya 600 unakaa mpaka jioni.
 
Point yangu haikuwa hiyo, point yangu ni 10 Mbps = 10 mb/sec = 10 megabytes per second PERIOD na maana yake ni megabytes kumi kwa sekunde. Hayo ya sekunde 8 ni variations. 10 kmph = 10 km/hr = kilomita 10 kwa saa. Nilimkosoa sababu kaeleza as if 10 Mbps ni kitu tofauti na 10mb/sec ndo maana nimemwambia PER = na hii alama /.
MKuu kama haujui kitu ni bora ukawa mpole ukaelezwa ukaelewa mbps na mb/sec ni vitu viwili tofauti Megabits na megabytes ni vitu viwili havishabihiani kabisa labda nikutoe tongo tongo.

Mbps =inatambulisha kiwango cha data rate speed ambacho isp anakupatia wewe .

Mb/sec= inatambulisha kiwango cha data transfer in storage level .

Kwamba isp akikupa data rate ya 10mbps ni sawa anakuambia utaweza kupakua file la mb 10 ndani ya sekunde 8 ambayo ni sawa na 1.25 Mb kwa kila sekunde na uta upload pia 1mb kwa kila sekunde ila kwa sababu watu wengi hamjui kutofautisha kati ya hivyo viwili basi mkajua 10mbps =10mb/sec.
 
Hapo sio sawa itabidi aache tu ili mzunguko wa watu uwe mkubwa kwenye biashara yake hii itachochea yeye kuuza zaidi na siyo kuita mtu mmoja mm9ja tu kwa miasita ya soda mpaka jioni kunakuwa hakuna mzunguko wa watu itabidi aache tu apewe kampani ndiyo atauza
kumbe hujaelewa... ni mtu akija kwenye biashara yake ndo anampa access watapeana taarifa hata kwenye saluni cafteria siku hizi ndo utaratibu hadi car wash
 
wi-fi si unamwekea password anayekuja dukani kwako ikiwa na maana mpita njia hawezi kujiunga kwa sababu hana password
KUna ile ku scan qr code yaani kama simu ina capability ya ku scan qr code kwenye wifi haihitaji hata kujua password ungusa wifi pale unaenda kwenye qr code una connect bila hata password .
 
Biashara inahitaji mzunguko mkubwa wa watu kama mtu akiweka password kunakuwa hakuna mzungo sawa na yule aliye acha internet wazi, sio lazima mteja anunue siku hiyo hiyo bidhaa ya m8arano anaweza kuwa anakuja kila s8ku bila kunun7a chochote alafu siku akaja kununua bidhaa za elfu 50 kuliko vile unavyo zani kwahiyo biashara ni mzunguko wa watu biashara nikuji brand na kutengeneza team yako lakini kama.umechagua kuweka password kwenye unlimited ni wewe ila hauta pata mzunguko mkubwa watu kwenye biashara yako kuzidi yule wa wa wazi internet yule kwanza anakuwa anapata promo za hao wafanya wateja hewa wataenda kutangaza kuwa sehemu flani kuna free data sasa hii promo sio mpaka uje kurangaza kwenye platform online kwa kifupi ngioja niishie hapa
Wewe huwajui wabongo wanavyopenda mteremko. Vijana watakuwa hawanunui chohocte wanakaa umbali kidogo na biashara yako wanapakua series tu.
 
Eneo nilipo kuna fiber ya TTCL karibu, haizidi mita 40 toka nilipo. Wameipitisha chini ya ardhi. Best option inaweza kuwa ipi kutokana na uzoefu wako mkuu
Vuta hiyoo mkuu inasaidia sana Tena ipo vizuri sana
 
Mwanangu hivi unazani ulaya wanaweka password za internet?
Unakumbuka ile ya coca cola pale makumbusho na stand ya tegeta, hata haikuwa na nguvu kila mtu ameconnect. kuna dogo pale tegeta alikuwa anatoka na kiti anaweka angle pale stand anashusha series laptop ikiisha charge ndo anarudi home baadaye ikawa slow hata kushusha chochote huwezi.
sasa mtu umelipia speed ya mb 20 halafu mtaa mzima wanaijua na wala hubadili password na wabongo wanavyopenda umbeya unaweza kukuta asubuhi tu waliojiunga muda huo watu 70 speed ya kinyonga wako instagram.
 
Nimeongea sana nimafafanua sana hao sio lazima wanunue siku hiyo hiyo bidhaa sijui za jero hao wanaweza kuja kununua bidhaa hata za laki siku isiyo rasmi na wakaja kuwazidi viwango hao wa jero, histoshe hao wanakuwa wana ku promo kwa watu wengine hali inayopelekea mzunguko mkubwa wa watu, unakuta flani sio mteja ila promo yake imekuletea wateja wa elfu 50 hapo unakuwa na hasara gani sasa mkuu, hivi unajua watu wanatumia shingapi ku promo bidhaa zao online? Kama huna experience ya biashara huwezi nielewa nini maana ya "kiki"
Mkuu internet haiwekwi kwenye sehemu za biashara kwa kutegemea umenunua bidhaa za gharama gani. Imewekwa kwa ajili ya wateja wanaopata huduma kwa muda huo. Ndio maana ukienda mfano car wash haijlishi unaosha kwa 10000 kawaida, au 15000 mpaka chini nyote mnatumia tu.
so hata kwenye biashara assume mgahawa haijalishi aliyekuja atanunua kahawa na vitumbua jumla 3000 na mwingine atumie 20000 wote wanapata internet as long as wanatumia huduma fulani kwa muda huo walio kwenye eneo hilo.
hayo mambo ya kutumia internet kwa sasa bure kwa matumaini ya kwamba kesho atanunua au kutumia huduma ya laki haiwzi kuapply.
 
TTCL 55,000 fiber 20mbps
Zuku 69,000 fiber 10mbps
Airtel 70,000 5G 10mbps
Tigo 70,000 5G na fiber 10mbps
Halotel 50,000 4G na 80,000 fiber 20mbps etc.

Hio Halotel ya 50,000 ni unlimited data unlimited speed kutegemea na ulipo sema 4G ni inferior kwa Fiber, prioritize Fiber kwanza ukikosa nenda 5G ukikosa kabisa ndio 4G.
Mkuu hiyo 50K ya Halotel ni fibre au Wifi(Router) na speed ikoje.
 
Nunue router za Airtel ni nzr. Laki mbili tu.
Na baada ya hapo utalipia 70k kila mwezi. Na uzuri wake inabaki na charge hadi masaa 8 umeme ukikatika
Vipi hyo router unakuwa umeinunua kabisa au baada ya mkataba kuisha unarudishiwa!???
 
KUna ile ku scan qr code yaani kama simu ina capability ya ku scan qr code kwenye wifi haihitaji hata kujua password ungusa wifi pale unaenda kwenye qr code una connect bila hata password .
Hii haina muarobaini wake?
 
Back
Top Bottom