- Thread starter
- #61
sasa hapa umenieleza kitu, kumbe ukilipia 110000 wanakupa router bure ila utaendelea kulipia 110000 kila mwezi, kumbe ukilipia kiasi hicho baada ya hapo unalipia 70000. Ina ping ya ngapi hiyo?Fika kwenye ofisi za Airtel , Waambie unataka Router: Model X28 - 5G smart Box
Hakikisha unakuwa na:
- Nakala ya TIN number.
- Kiasi cha fedha TZS 270,000 ( hii fedha iweke kwenye moja ya laini zako za Airtel) | Hii ni ghrama ya router na package ya 10mbps kwa mwezi mmoja. Baada ya mwezi kwisha utaenedlea kulipia 70,000