jameson567
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 536
- 3,289
Hizi hesabu za wapi!?.. 10mbps = 10 megabytes per second. Per = / . (hii alama / inasimamia per kwenye hesabu). Hiyo kugawia 8 umeipata wapi!?.. Nakupa mfano 100 kilometers per hour = 100 km/h = 100 kmph. Aliyekwambia habari za kugawia 8 kakuingiza chaka.Mbps= megabits per second
Ukitaka kupata mb/seconds unagawa mbps kwa 8 kwa maana kwamba 10mbps=1.25 mb/sec hii spidi ni ndogo kwenye ku download files kubwa ila kwa ku stream , video confrence ,picture uploading & downloading ni spifi nzuri.