Expert Members wengi wanaongoza kwa reply za hovyo tofauti kabisa na expectation zetu

Kwa jamiiforums na tarajia expert member's ndo mfano wa kuigwa but reality ni tofauti kabisa unakuta mtu kapost uzi very serious then Expert member anakuja kupost reply iliyojaa pumba tupu why is that happening
Kijana vipi mbona kama unataka waru waishi unavyotaka wewe? Mood zinatofautiana kulingana na siku so ukiona mtu analeta ujinga kila thread/siku wewe muignore. Lakin pia angalia anajitengezeaje identity yake

Kuna member yeye kajiweka hapa kukoment utumbo tu. Yani ndo identity yake, utofauti kati yake na wengine. Hao wanatupunguzia stres humu
 
Kwa jamiiforums na tarajia expert member's ndo mfano wa kuigwa but reality ni tofauti kabisa unakuta mtu kapost uzi very serious then Expert member anakuja kupost reply iliyojaa pumba tupu why is that happening
Jf ni burudani tosha kwa wengi. Hivyo sometimes chukulia sawa tu. Mtu aweza kujibu kuchangamsha ukumbi tu, lakini ana madini ya kutosha.
 
Kwa jamiiforums na tarajia expert member's ndo mfano wa kuigwa but reality ni tofauti kabisa unakuta mtu kapost uzi very serious then Expert member anakuja kupost reply iliyojaa pumba tupu why is that happening
it is very simple,

ukiona hivyo then wewe sasa,
unareply pale chini kwa mawazo mapya mazito ya maana na bora zaidi, huku ukitupia fikra mbadala zilizoshiba dhidi ya hiyo pumba..

hakuna haja kubabaika gentleman 🐒
 
Mie simooooo
1729004182283.jpg
 
Back
Top Bottom