Expert Members wengi wanaongoza kwa reply za hovyo tofauti kabisa na expectation zetu

Expert Members wengi wanaongoza kwa reply za hovyo tofauti kabisa na expectation zetu

Kwa jamiiforums na tarajia expert member's ndo mfano wa kuigwa but reality ni tofauti kabisa unakuta mtu kapost uzi very serious then Expert member anakuja kupost reply iliyojaa pumba tupu why is that happening
CC
KUNA MKANDA HUOO WA WATYU WASIOLALA JF YAAN HUO MPAKA SAA 12 ASBH KAMA HUJAENDA TOILET KWA KUCHEKA NJOO NICHAPE....

YAAN KUNA NDOA ZINAHESHIMIKA MPAKA LEO SABABU YA ULE UZI NA COMENTS ZAKE

HUKU USIWE SERIOUS SANA ISRAEL ATAKUTAFYUTA MAANA WASIKUTUKANE YAAN USIKUBALI HILO

LAKINI HAKA KAKUPIGWA KICHEKOO NA MSHANGAO AMA COMENTS ZA WASIOJULIKANA
BADALA YA COMENTS ZA MAANA[UNAZOZITAKA] NA WEWE KAWAPIGE KICHEKO PIA SIKU IENDE
 
Kwa jamiiforums na tarajia expert member's ndo mfano wa kuigwa but reality ni tofauti kabisa unakuta mtu kapost uzi very serious then Expert member anakuja kupost reply iliyojaa pumba tupu why is that happening

✅💯
 
Unakuta ana pop corn kabisa kisado kimoja kweli!!!
Ungeandoka saa nane usiku ningesema mpwa anatafuta usingizi........polempwaaa wakikubore nenda jukwa la wazee wa kubet mdaa huu unakuta wanatumiana tkt zina nyekundu pemben kama Kadi za harusi ya pdidy kumbe mhindi kashapitaa anacheka tuu...lazima uchekeeee na wewee
 
Naona unatishika na neno "Expert member, hili halina issue hata wewe utapata na utakaa nayo miaka yote
 
Ungeandoka saa nane usiku ningesema mpwa anatafuta usingizi........polempwaaa wakikubore nenda jukwa la wazee wa kubet mdaa huu unakuta wanatumiana tkt zina nyekundu pemben kama Kadi za harusi ya pdidy kumbe mhindi kashapitaa anacheka tuu...lazima uchekeeee na wewee
Hii ndio mida ya kutembelea uzi wa USIKU WA MANENO,,nikaweke mda ni saa ngapi😂😂
 
Hii ndio mida ya kutembelea uzi wa USIKU WA MANENO,,nikaweke mda ni saa ngapi😂😂
Darasa tunaanza saa sita na nusu una ndoa zinakusumbua wee weka kakelele akijibu mtu mkeo anajua msg za haawara kumbe ushe zi wa Pdidy..asbh usixhelewe kazini2
 
uzuri wa k
jf wameacha matusi na kama wapo baso nilisha wa ignoreeee ...hahahaa nimesahau hiingomaa ukiona umekasirika bonyeza ignore pita nae mkuu kama Israel ilivyompitia mpwa wa gaza leo shaaha hutoona tena postzake
 
Ajakutana. Na majibu ya Gold/Platinum waliovurugwa sikuhioo ataimba halleluyah

🤣🤣🤣
Humu kama mtu hana ubavu lazima aumie.. Tumpe pole atazoea tu

Ila kwa topic zilizo siriasi mf. Ya kwanza juu ya Afya, wengi wanaboa sana hawafikirii inasaidia wengi majibu pia kwa wasomaji na wa Mada.
 
Darasa tunaanza saa sita na nusu una ndoa zinakusumbua wee weka kakelele akijibu mtu mkeo anajua msg za haawara kumbe ushe zi wa Pdidy..asbh usixhelewe kazini2
Nimekutag kule ukasaini,mi tayar
 
Bora jf huko fb tunajibiwa kama chooni ukitoka huko unatafuta...
 
Attachments

  • Screenshot_20241018-000114_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20241018-000114_WhatsApp.jpg
    170.5 KB · Views: 1
🤣🤣🤣
Humu kama mtu hana ubavu lazima aumie.. Tumpe pole atazoea tu

Ila kwa topic zilizo siriasi mf. Ya kwanza juu ya Afya, wengi wanaboa sana hawafikirii inasaidia wengi majibu pia kwa wasomaji na wa Mada.
Na za mapenzi

Watu wamevurugwaa wanatakaaa farajaaaa unasikia mtu kajibu unabaki kuwaza n mm nimeandika hawajui nayopitia[..
 
mda wa tendo la ndoa jaman kwaherin wengine tunashinda ukurasa wetyupendwa
 
Back
Top Bottom