Exposure ni kuona tu au ni kuona na kujifunza? Mbona tunasafiri sana, tunaona mazuri ya wenzetu, lakini hatujifunzi na hatubadiliki? Tumeridhika?

Ni vitu ambavo tumeshindwa kujibadilisha. Tushaongea na kupambana navyo sana mwisho wa siku unaamua kukubali kua ujinga wetu ni vitu nje ya uwezo wetu,it's on our DNA bro! You can't change it and nobody can. The universe before being created mungu alikua anajua Kuna a small part in the world people will be dumb, incompetent and lazy and it's obvious. waTz Wana trauma nyingi na wenyewe washaridhika nazo na kuzikubali kama part of their life.
Necessity is the mother of all inventions. And never say never! Things will change because that is the nature of the world. How and who will benefit...no idea.
But we cannot continue living, by standing with no forward or back movements
 
Wao ni wao na sisi ni sisi.
Sometimes kutojifunza vitu ni strategy nzuri ya ku survive au kuto survive.

Kusema kweli Kwa spidi ya Dunia na technology inavoenda Kwa kasi na madhara yake yashaonekana mi sometimes naona Bora tanzania tuishi hivi hivi na tuwe washamba hivi hivi tu kama tupo Karne ya 20 kuliko kukimbilia hiyo UTopian world tunayoaminishwa.

Kwa kutembea sana I learn to appreciate ushamba wetu na umaskini wetu mybe huo Ushamba na ujinga wetu unaweza ukatusaidia siku Moja.
Fikra kama hizi zako za hovyo sana ndizo zimelididimiza hili taifa kwa muda mrefu sana na kuendelea kulifanya kuwa lenye shida nyingi sana katikati ya rasilimali lukuki.
 
Wanabodi

Kuna huu msemo kuona ni kuamini na ni kujifunza!. Jee Tanzania sasa tuanze kuwa tunajifunza mambo mazuri ya wenzetu tunayoyaona kupitia exposure mbalimbali kwenye ziara za Mhe Rais wetu, nje ya nchi?. Je tuige mazuri ya wenzetu yatatusaidia au sisi ni sisi na wao ni wao?.

Hoja hii ni kufuatia ziara ya Rais Samia nchini Indonesia ambapo JF imekuwa ndio media ya kwanza kutuletea live ya ziara hiyo kabla hata ya TV yoyote ya Tanzania, kabla hata ya Ikulu Mawasiliano LIVE - Ziara ya Rais Samia katika Ikulu ya Indonesia, leo Januari 25, 2024
View: https://www.youtube.com/live/BTFeRepAxVg?si=yMERyI7b7J3TQWpn

Mimi ni miongoni mwa waandishi wa habari tulioshiriki ziara nyingi za rais wetu nje ya nchi. Moja ya faida kubwa za kusafiri ni kupata kitu kinachoitwa exposure, mtu unakuwa exposed kwenye mazingira tofauti tofauti, na hii exposure inapatikaka kwa kutembelea eneo husika, na kuona, ambapo sio tuu kuona ni kuamini bali kuona ni kujifunza.

Kwenye ziara za wenzetu tunaona jinsi wenzetu wana ongoza misafara ya viongozi, hakuna mambo ya kufunga barabara saa nzima rais anapita au kuna msafara wa viongozi, Misafara ya viongozi inachosha, inatesa na kurudisha nyuma maendeleo, IGP Sirro peleka Traffic Sweden kujifunza misafara ya wenzetu, Time is Money!

Tukiwa nchini Sweden, Rais Mkapa na msafara wake wote tukiwemo sisi waandishi wa habari, tulipandishwa basi moja!, Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja! Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden sisi ikifanyika event mahali, Waziri, KM, Wakurugenzi, kila mmoja anakuja na VX lake na dereva wake!.

Marais wetu huwa wakuwa na walinzi na ADC na msafara wa watu kibao, leo nchi Indonesia, nimemshuhudia Rais Samia na mwenyeji wake tuu, wao peke yao, hakuna cha mlinzi wale ADC!.

Viongozi wetu wawapo kwenye security cleared area kama Ikulu, walinzi na ADC wanamzonga wa nini?!.

Hebu Shuhudia
View attachment 2882292
Shuhudia Mgeni na mwenyeji tuu!, hakuna majeshi nyuma wala ADC!View attachment 2882293
Wawili peke yao!View attachment 2882294
Wawili pekee yao, View attachment 2882295
Wawili pekee yao,View attachment 2882296
Wawili pekee yao.

Kiti kingine nimekinote Ikulu ya Indonesia ni wingi wa wanyama mwetu, zoo!. Nilimpongeza Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu Hongera Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu kuliko enzi za Nyerere, Ikulu iwe kivutio cha utalii, restrictions ziondolewe watalii wafurike hapo nililaumu wanyama ni wengi!, nilichoshuhudia Ikulu ya Indonesia, kiukweli Ikulu yetu ni kama haina mnyama!.

Hitimisho
Jee Tanzania sasa tuanze kuwa tunajifunza mambo mazuri ya wenzetu tunayoyaona kupitia exposure mbalimbali kwenye ziara za Mhe Rais wetu, nje ya nchi?. Je tuige mazuri ya wenzetu yatatusaidia au sisi ni sisi na wao ni wao?, tuendelee kusafiri na kuyaona mazuri ya wenzetu, na kuacha huko huko, tukirudi tuendelee na yetu kwasababu wao ni wao na sisi ni sisi kila mtu kivyake vyake?.

Hiki kitu kinachoitwa exposure faida yake ni kuona tu au ni kuona na kujifunza?. Mbona tunasafiri sana, tunapata exposure kubwa, tunaona mazuri ya wenzetu na the way they do things, lakini mbona ni kama hatujifunzi? na kama tuna jifunza, mbona kama bado hatubadiliki the way we do some of our things?au sisi tumeridhika hivi ndivyo sisi tulivyo, wao ni wao na sisi ni sisi?.

Paskali

Paskal
Kila mtu ameumbwa kwa namna yake. HUWEZI KUWA kama mwenzako kwa kumuona tu- basi wote tungekuwa kama MESSI

View: https://www.youtube.com/watch?v=leAE86nYhro&t=1181s
 
Wanapokuja nje wanaenda kununua suti tu na saa za gharama na iPhone
Jitu kubwa linawaza mavazi
Netherlands kuna vijana wamevumbua mabaki na maembe yaliyoharibika wametengeneza kuwa ngozi na wanaengenezea viatu, mikoba nk
Sisi maembe yana msimu wakati yanaota kila mahali tena bila mtu
Sasa kama hatuigi tuna nini cha kujisifia kuwa ooh nimetembea miji 100

Unapanda mabasi na train zao husikii kelele ila ukisema kwanini mziki kwenye mabasi unashambuliwa
Wenzetu hata simu huongei kwa sauti na imeandikwa kabisa

Hakuna nchi inaendelea bila kuiga mazuri
Leo tukijitenga hata biriyani tusingeijua
Kwa kweli sisi tumejifunga sana sio ushamba bali roho mbaya tu na ubaguzi
 
MSOME pia bwana huyu
One can never know another person absolutely, which would involve knowledge of every single thought and mood (SIMMEL, GEORG , 1858–1918)
 
Mkuu

Katiba mbovu inayompa mamlaka makubwa Rais inamfanya Raise kufanya maovu ikiwemo mikataba ya wizi na ubadhirifu kwahio Raise anakua na hofu kubwa sana unaotokana na wasiwasi wa uovu wake lazima awe na ulinzi na kampany ya watu wengi!!

Sasa bas,katiba mpya ikipatikana tu Rais atakuwa chini ya uangalizi was kila kitu na uadilifu hatokua na hofu ya uovu wake kwasababu haupo kabisa!!

Utaona hayo unayoshuhudia huko ughaibuni!!

Tanzania yazidi kufunguka na kugara katika diplomasia ya kimataifa.

FAHAMU SIASA ZA INDONESIA

Rais Joko "Jokowi" Widodo alisema Jumanne kwamba atastaafu siasa na kurejea katika mji aliozaliwa wa Surakarta, Java ya Kati, baada ya kumaliza muhula wake wa pili Oktoba 2024.
1706175637783.png

Picha maktaba : Rais Joko "Jokowi" Widodo mbele katikati.

Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ziara ya Purworejo, pia katika Java ya Kati, Rais alisema hana mpango wa kuendelea kuishi maisha ya umma. "Nitarejea kuwa raia wa kawaida na kurudi Solo," Jokowi alisema, akimaanisha jiji hilo kwa jina la jadi, ambalo aliwahi kuwa meya wa vipindi viwili kati ya 2005 na 2012.

Makala hii ilichapishwa katika thejakartapost.com yenye kichwa "". Bofya ili kusoma: Jokowi plans to return to Surakarta after his term ends - Politics - The Jakarta Post.

MTOTO WA JOKOWI ARUHUSIWA KUWA MGOMBEA MWENZA YAANI KUWA MAKAMU WA RAIS

Uchaguzi wa Indonesia una dalili za kudhoofisha demokrasia imeandikwa
Tarehe 10 Desemba 2023
Mwandishi: Edward Aspinall, ANU

Huku muhula wa Rais wa Indonesia Joko ‘Jokowi’ Widodo ukifika mwisho, kuzorota kwa demokrasia ya Indonesia kunaongezeka, wakati nchi hiyo inapojiandaa kwa uchaguzi wa urais mwaka wa 2024 - wa tano tangu kumalizika kwa utawala wa kimabavu mwaka wa 1998.

1706175684785.png

Picha : Mgombea urais Prabowo Subianto (kushoto) na mtoto wa kiume wa Rais Jokowi mwenye umri wa miaka 36, Gibran Rakabuming Raka (kulia)

Siri kuu ya kisiasa ya mwaka - ambayo mgombea angemuunga mkono Jokowi - ilitatuliwa kwa uhakika katikati ya Oktoba 2023 wakati Mahakama ya Kikatiba ya Indonesia ilifungua njia kwa mtoto wa kiume wa Rais Jokowi mwenye umri wa miaka 36, Gibran Rakabuming Raka, kusimama kama mgombea mwenza wa Waziri wa Ulinzi. Prabowo Subianto.

Pamoja na kuanzisha mfululizo wa kurithishana uongozi , kuunganishwa kwa Gibran na Prabowo ni kilele cha maridhiano ya kisiasa kati ya waliokuwa wapinzani wa kisiasa, Jokowi na Prabowo. Muhimu zaidi, uamuzi huo unaleta umakini mkubwa kudhoofika kwa taasisi kuu za kidemokrasia chini ya urais wa Jokowi.

Wakati rais Jokowi alipomkataa Ganjar Pranowo, mgombea wa chama chake, PDI-P, kwa kupendelea tikiti ya kuunganisha Gibran na Prabowo, ilikuwa ishara ya mtego wa kurithishana kwenye maisha ya kisiasa ya Indonesia na kudhoofika kwa vyama vya kisiasa.

Ushindi wa Prabowo-Gibran unaonekana kuwa matokeo yanayotarajiwa zaidi katika uchaguzi wa urais wa 2024. Hii si rahisi, au hata hasa, kwa sababu vyombo vya serikali katika mikoa vinaweza kuathiri matokeo.

Muhimu zaidi, uidhinishaji wa kimyakimya wa rais Jokowi ni muhimu sana. Rais bado anajulikana sana, bado anarekodi ukadiriaji wa idhini ya umma ya karibu asilimia 75.

Waindonesia wengi wanathamini mtazamo wake wa Suharto-lite katika maendeleo ya kiuchumi bila vipengele vya kimamlaka zaidi vya utawala wa Suharto, yakiongezwa na mgao unaokua wa usaidizi wa kijamii. Ni kwa sababu hii kwamba Prabowo amejizua tena kama shabiki namba moja wa umma wa Jokowi na kumchumbia mwanawe kama mgombea mwenza wake kwa bidii sana.

Kuoanishwa kwao kunamweka Prabowo, mwanamume aliye na maisha ya kisiasa ya kimabavu, karibu na urais. Aliwahi kuwa mkwe wa Suharto na kiongozi wa kikundi cha watu wenye msimamo mkali wa kijeshi katika miaka ya mwisho ya utawala wa Suharto.

Waangalizi wa siasa za Indonesia wanajadili kama uzoefu wa Prabowo wa maelewano kama waziri chini ya Jokowi unaweza kuwa ulipunguza hisia za kimabavu alizopata kupitia ujamaa wake wa mapema wa kisiasa.

Chini ya Jokowi, Prabowo kwa kiasi kikubwa ameachana na kauli mbiu za watu wengi ambazo alijaribu nazo kushinda urais 2014 na 2019. Source: Indonesia’s election bears the signs of weakening democracy | East Asia Forum

JOKOWI ASHUTUMIWA KUMKINGIA KIFUA NA KUSHIRIKI KAMPENI MWANAE AWE MAKAMU WA RAIS,

Rais Joko “Jokowi” Widodo amelaumiwa kwa kusema kuwa kushika wadhifa wa umma (urais) hakumzuii kuwafanyia kampeni wagombeaji wowote huku kukiwa na wasiwasi kwamba anaweka dole gumba kumpendelea mpinzani wake wa zamani Ganjar Pranowo na mwanawe Uchaguzi wa Februari .. .. source : Jokowi faces backlash over claim of campaign right - Politics - The Jakarta Post
 
Wanabodi

Kuna huu msemo kuona ni kuamini na ni kujifunza!. Jee Tanzania sasa tuanze kuwa tunajifunza mambo mazuri ya wenzetu tunayoyaona kupitia exposure mbalimbali kwenye ziara za Mhe Rais wetu, nje ya nchi?. Je tuige mazuri ya wenzetu yatatusaidia au sisi ni sisi na wao ni wao?.

Hoja hii ni kufuatia ziara ya Rais Samia nchini Indonesia ambapo JF imekuwa ndio media ya kwanza kutuletea live ya ziara hiyo kabla hata ya TV yoyote ya Tanzania, kabla hata ya Ikulu Mawasiliano LIVE - Ziara ya Rais Samia katika Ikulu ya Indonesia, leo Januari 25, 2024
View: https://www.youtube.com/live/BTFeRepAxVg?si=yMERyI7b7J3TQWpn

Mimi ni miongoni mwa waandishi wa habari tulioshiriki ziara nyingi za rais wetu nje ya nchi. Moja ya faida kubwa za kusafiri ni kupata kitu kinachoitwa exposure, mtu unakuwa exposed kwenye mazingira tofauti tofauti, na hii exposure inapatikaka kwa kutembelea eneo husika, na kuona, ambapo sio tuu kuona ni kuamini bali kuona ni kujifunza.

Kwenye ziara za wenzetu tunaona jinsi wenzetu wana ongoza misafara ya viongozi, hakuna mambo ya kufunga barabara saa nzima rais anapita au kuna msafara wa viongozi, Misafara ya viongozi inachosha, inatesa na kurudisha nyuma maendeleo, IGP Sirro peleka Traffic Sweden kujifunza misafara ya wenzetu, Time is Money!

Tukiwa nchini Sweden, Rais Mkapa na msafara wake wote tukiwemo sisi waandishi wa habari, tulipandishwa basi moja!, Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja! Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden sisi ikifanyika event mahali, Waziri, KM, Wakurugenzi, kila mmoja anakuja na VX lake na dereva wake!.

Marais wetu huwa wakuwa na walinzi na ADC na msafara wa watu kibao, leo nchi Indonesia, nimemshuhudia Rais Samia na mwenyeji wake tuu, wao peke yao, hakuna cha mlinzi wale ADC!.

Viongozi wetu wawapo kwenye security cleared area kama Ikulu, walinzi na ADC wanamzonga wa nini?!.

Hebu Shuhudia
View attachment 2882292
Shuhudia Mgeni na mwenyeji tuu!, hakuna majeshi nyuma wala ADC!View attachment 2882293
Wawili peke yao!View attachment 2882294
Wawili pekee yao, View attachment 2882295
Wawili pekee yao,View attachment 2882296
Wawili pekee yao.

Kiti kingine nimekinote Ikulu ya Indonesia ni wingi wa wanyama mwetu, zoo!. Nilimpongeza Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu Hongera Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu kuliko enzi za Nyerere, Ikulu iwe kivutio cha utalii, restrictions ziondolewe watalii wafurike hapo nililaumu wanyama ni wengi!, nilichoshuhudia Ikulu ya Indonesia, kiukweli Ikulu yetu ni kama haina mnyama!.

Hitimisho
Jee Tanzania sasa tuanze kuwa tunajifunza mambo mazuri ya wenzetu tunayoyaona kupitia exposure mbalimbali kwenye ziara za Mhe Rais wetu, nje ya nchi?. Je tuige mazuri ya wenzetu yatatusaidia au sisi ni sisi na wao ni wao?, tuendelee kusafiri na kuyaona mazuri ya wenzetu, na kuacha huko huko, tukirudi tuendelee na yetu kwasababu wao ni wao na sisi ni sisi kila mtu kivyake vyake?.

Hiki kitu kinachoitwa exposure faida yake ni kuona tu au ni kuona na kujifunza?. Mbona tunasafiri sana, tunapata exposure kubwa, tunaona mazuri ya wenzetu na the way they do things, lakini mbona ni kama hatujifunzi? na kama tuna jifunza, mbona kama bado hatubadiliki the way we do some of our things?au sisi tumeridhika hivi ndivyo sisi tulivyo, wao ni wao na sisi ni sisi?.

Paskali

Naunga mkono hoja mkuu P.

Kuna siku prezidaa alikuwa na mkutano pale JNICC, basi ile barabara yote ikafungwa mwanzo na mwisho kwa yale machuma, kila mtu anayepita pale anakaguliwa na ile scanner ya mkono na kupapaswa. Kufika getini kuna scanner kama ya Airport ila ya mizigo na kupita, mlango wa ukumbini una scanner nyingine kama ya getini, ndani ukumbi wote wamezunguka walinzi, cha ajabu pale mbele prezidaa kasongwa kila kona, nyuma yake mpambe na walinzi, pembeni walinzi, mbele ya meza kuu wamejipanga walinzi.

Kwa ukaguzi ule milangoni na ulinzi uliotapakaa ndani kuna haja gani mtu kumsonga hivyo?
 
Hizo ni mbwembwe tu Tanzania na pia Indonesia, lakini ukichunguza kwa umakini utabaini nini kinaendelea ndani ya nchi hizo mbili rafiki.
.
Ule msemo unaosema ukionacho si dhahabu katika yote ni kweli, kuna mambo mengi yamejificha nyuma ya pazia. Hivyo kuna dhahabu kweli na mengine ni kiini macho. Mazuri yachukuliwe na madhaifu tuyaache.
 
Wanabodi

Kuna huu msemo kuona ni kuamini na ni kujifunza!. Je, Tanzania sasa tuanze kuwa tunajifunza mambo mazuri ya wenzetu tunayoyaona kupitia exposure mbalimbali kwenye ziara za Mhe Rais wetu, nje ya nchi?. Je tuige mazuri ya wenzetu yatatusaidia au sisi ni sisi na wao ni wao?

Hoja hii ni kufuatia ziara ya Rais Samia nchini Indonesia ambapo JF imekuwa ndio media ya kwanza kutuletea live ya ziara hiyo kabla hata ya TV yoyote ya Tanzania, kabla hata ya Ikulu Mawasiliano

Mimi ni miongoni mwa waandishi wa habari tulioshiriki ziara nyingi za rais wetu nje ya nchi. Moja ya faida kubwa za kusafiri ni kupata kitu kinachoitwa exposure, mtu unakuwa exposed kwenye mazingira tofauti tofauti, na hii exposure inapatikaka kwa kutembelea eneo husika, na kuona, ambapo sio tuu kuona ni kuamini bali kuona ni kujifunza.

Kwenye ziara za wenzetu tunaona jinsi wenzetu wana ongoza misafara ya viongozi, hakuna mambo ya kufunga barabara saa nzima rais anapita au kuna msafara wa viongozi, Misafara ya viongozi inachosha, inatesa na kurudisha nyuma maendeleo, IGP Sirro peleka Traffic Sweden kujifunza misafara ya wenzetu, Time is Money!

Tukiwa nchini Sweden, Rais Mkapa na msafara wake wote tukiwemo sisi waandishi wa habari, tulipandishwa basi moja!, Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja! Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden sisi ikifanyika event mahali, Waziri, KM, Wakurugenzi, kila mmoja anakuja na VX lake na dereva wake!

Marais wetu huwa wakuwa na walinzi na ADC na msafara wa watu kibao, leo nchi Indonesia, nimemshuhudia Rais Samia na mwenyeji wake tuu, wao peke yao, hakuna cha mlinzi wale ADC!.

Viongozi wetu wawapo kwenye security cleared area kama Ikulu, walinzi na ADC wanamzonga wa nini?!.

Hebu Shuhudia

View attachment 2882292
Shuhudia Mgeni na mwenyeji tu, hakuna majeshi nyuma wala ADC!

View attachment 2882293
Wawili peke yao!
View attachment 2882294
Wawili pekee yao
View attachment 2882295
Wawili pekee yao
View attachment 2882296
Wawili pekee yao

Kiti kingine nimekinote Ikulu ya Indonesia ni wingi wa wanyama mwetu, zoo!. Nilimpongeza Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu Hongera Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu kuliko enzi za Nyerere, Ikulu iwe kivutio cha utalii, restrictions ziondolewe watalii wafurike hapo nililaumu wanyama ni wengi!, nilichoshuhudia Ikulu ya Indonesia, kiukweli Ikulu yetu ni kama haina mnyama!

Hitimisho
Je, Tanzania sasa tuanze kuwa tunajifunza mambo mazuri ya wenzetu tunayoyaona kupitia exposure mbalimbali kwenye ziara za Mhe Rais wetu, nje ya nchi? Je, tuige mazuri ya wenzetu yatatusaidia au sisi ni sisi na wao ni wao? Tuendelee kusafiri na kuyaona mazuri ya wenzetu, na kuacha huko huko, tukirudi tuendelee na yetu kwasababu wao ni wao na sisi ni sisi kila mtu kivyake vyake?

Hiki kitu kinachoitwa exposure faida yake ni kuona tu au ni kuona na kujifunza? Mbona tunasafiri sana, tunapata exposure kubwa, tunaona mazuri ya wenzetu na the way they do things, lakini mbona ni kama hatujifunzi? na kama tuna jifunza, mbona kama bado hatubadiliki the way we do some of our things?au sisi tumeridhika hivi ndivyo sisi tulivyo, wao ni wao na sisi ni sisi?

Paskali

Andiko zuri. Kwanza hatuna kiongozi hapa ni bomu Tena la kienyeji.
Pili siyo mzalendo wa kweli.
Tatu IQ yake ni ndogo.
Nne anapenda matanuzi na starehe Sana.
Hawezi leta kitu kipya huyu ni mtalii tu.
Watanzania iombeeni nchi yenu usukani umeshikwa na mchwa hivyo inaliwa mno. Je kizazi kijacho kitarithi Nini?????🇹🇿
 
Sio kweli. Ndio maana tunaona fahari kujiibia wenyewe na kufikiria tunamuibia mtu mwingine. Ndio maana tunafikiria tuaajiriwe ili tukapige deals badala ya kufanya kazi za kuleta maendeleo.
Ndio maana mpaka leo kipindupindu na unyafuzi ni magonjwa yanayosumbua jamii yetu. Anayedharau elimu rasmi au mbadala ni mtu wa chini kabisa ambaye anatakiwa aogopwe kama ukoma

Necessity is the mother of all inventions. And never say never! Things will change because that is the nature of the world. How and who will benefit...no idea.
But we cannot continue living, by standing with no forward or back movements

Necessity is the mother of all inventions. And never say never! Things will change because that is the nature of the world. How and who will benefit...no idea.
But we cannot continue living, by standing with no forward or back movements

Our "Necessity" is already fulfilled. We don't need anything more kwenye Dunia hii.average Tanzania hajali shida au kadhia zozote ilimradi anaangalia Mpira,umbea na cheap politics. Aende kazini aibe,apate nafasi aibe,alishe watoto wake na kufa,haya ndio maisha ya average Tanzanian.

Hizo ambitions na goals ni vitu ambavo nyie werevu ndio mnataka kutuletea ila average Tanzanian karidhika kabisa kuishi kwenye shida,uchafu na ujinga. Maisha hayaba formula na hakuna alie sahihi au kukosea,sisi kuishi hivi hatukosei pia.
 
Fikra kama hizi zako za hovyo sana ndizo zimelididimiza hili taifa kwa muda mrefu sana na kuendelea kulifanya kuwa lenye shida nyingi sana katikati ya rasilimali lukuki.
Average Tanzanian anaamini rasilimali ndio kila kitu. Uerevu na kutumia akili kumanipulate your environment ndio mafanikio ya nchi bro. Hizo nchi zilitojarika sababu ya rasilimali walikua na akili kabla. Saudia,Qatar na uae kabla wamarekani kugundua na kuchimba mafuta tayari wao binafsi walikua na utambuzi wa mambo mbalimbali japo walikua na umaskini ila hawakua wajinga.
 
Naunga mkono hoja mkuu P.

Kuna siku prezidaa alikuwa na mkutano pale JNICC, basi ile barabara yote ikafungwa mwanzo na mwisho kwa yale machuma, kila mtu anayepita pale anakaguliwa na ile scanner ya mkono na kupapaswa. Kufika getini kuna scanner kama ya Airport ila ya mizigo na kupita, mlango wa ukumbini una scanner nyingine kama ya getini, ndani ukumbi wote wamezunguka walinzi, cha ajabu pale mbele prezidaa kasongwa kila kona, nyuma yake mpambe na walinzi, pembeni walinzi, mbele ya meza kuu wamejipanga walinzi.

Kwa ukaguzi ule milangoni na ulinzi uliotapakaa ndani kuna haja gani mtu kumsonga hivyo?
Umejiuliza kuwa kwa ulinzi huo, watu watakuwa free kuchangia mawazo yao? Au walienda kwenye kikao kuchukua maagizo ya rais
 
Sisi tunatatizo Moja ukikifuatilia kitu Kwa dhati na haki, Hata kama kinafaida Kwa wote inaonekana mnoko, una roho mbaya na unajifanya kuwa na uchungu.

Hvyo watu wengi husita kutoa mapendekezo Yao na kupata uugwaji mkono.

Angalia kwenye miradi watu wanaiba waziwazi ukijifanya unajari inakuwa adui
 
Wanabodi

Kuna huu msemo kuona ni kuamini na ni kujifunza!. Je, Tanzania sasa tuanze kuwa tunajifunza mambo mazuri ya wenzetu tunayoyaona kupitia exposure mbalimbali kwenye ziara za Mhe Rais wetu, nje ya nchi?. Je tuige mazuri ya wenzetu yatatusaidia au sisi ni sisi na wao ni wao?

Hoja hii ni kufuatia ziara ya Rais Samia nchini Indonesia ambapo JF imekuwa ndio media ya kwanza kutuletea live ya ziara hiyo kabla hata ya TV yoyote ya Tanzania, kabla hata ya Ikulu Mawasiliano

Mimi ni miongoni mwa waandishi wa habari tulioshiriki ziara nyingi za rais wetu nje ya nchi. Moja ya faida kubwa za kusafiri ni kupata kitu kinachoitwa exposure, mtu unakuwa exposed kwenye mazingira tofauti tofauti, na hii exposure inapatikaka kwa kutembelea eneo husika, na kuona, ambapo sio tuu kuona ni kuamini bali kuona ni kujifunza.

Kwenye ziara za wenzetu tunaona jinsi wenzetu wana ongoza misafara ya viongozi, hakuna mambo ya kufunga barabara saa nzima rais anapita au kuna msafara wa viongozi, Misafara ya viongozi inachosha, inatesa na kurudisha nyuma maendeleo, IGP Sirro peleka Traffic Sweden kujifunza misafara ya wenzetu, Time is Money!

Tukiwa nchini Sweden, Rais Mkapa na msafara wake wote tukiwemo sisi waandishi wa habari, tulipandishwa basi moja!, Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja! Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden sisi ikifanyika event mahali, Waziri, KM, Wakurugenzi, kila mmoja anakuja na VX lake na dereva wake!

Marais wetu huwa wakuwa na walinzi na ADC na msafara wa watu kibao, leo nchi Indonesia, nimemshuhudia Rais Samia na mwenyeji wake tuu, wao peke yao, hakuna cha mlinzi wale ADC!.

Viongozi wetu wawapo kwenye security cleared area kama Ikulu, walinzi na ADC wanamzonga wa nini?!.

Hebu Shuhudia

View attachment 2882292
Shuhudia Mgeni na mwenyeji tu, hakuna majeshi nyuma wala ADC!

View attachment 2882293
Wawili peke yao!
View attachment 2882294
Wawili pekee yao
View attachment 2882295
Wawili pekee yao
View attachment 2882296
Wawili pekee yao

Kiti kingine nimekinote Ikulu ya Indonesia ni wingi wa wanyama mwetu, zoo!. Nilimpongeza Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu Hongera Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu kuliko enzi za Nyerere, Ikulu iwe kivutio cha utalii, restrictions ziondolewe watalii wafurike hapo nililaumu wanyama ni wengi!, nilichoshuhudia Ikulu ya Indonesia, kiukweli Ikulu yetu ni kama haina mnyama!

Hitimisho
Je, Tanzania sasa tuanze kuwa tunajifunza mambo mazuri ya wenzetu tunayoyaona kupitia exposure mbalimbali kwenye ziara za Mhe Rais wetu, nje ya nchi? Je, tuige mazuri ya wenzetu yatatusaidia au sisi ni sisi na wao ni wao? Tuendelee kusafiri na kuyaona mazuri ya wenzetu, na kuacha huko huko, tukirudi tuendelee na yetu kwasababu wao ni wao na sisi ni sisi kila mtu kivyake vyake?

Hiki kitu kinachoitwa exposure faida yake ni kuona tu au ni kuona na kujifunza? Mbona tunasafiri sana, tunapata exposure kubwa, tunaona mazuri ya wenzetu na the way they do things, lakini mbona ni kama hatujifunzi? na kama tuna jifunza, mbona kama bado hatubadiliki the way we do some of our things?au sisi tumeridhika hivi ndivyo sisi tulivyo, wao ni wao na sisi ni sisi?

Paskali

Waafrika na Watanzania wachache sana wanasafiri nje kwenda kujifunza.

Wengi wanasafiri ili kupata posho na ku enjoy tu ili wapige picha na kuwaringishia wenzao( Ushamba wa watu wenye ngozi nyeusi)

Wachache sana wanajifunza na kusema jambo hili tukichukue na tukalifanye hivi nyumbani.

Wanaoongoza kutumia exposure kwa maendeleo yao ni watu wa Asia Mashariki sio huki ngozi nyeusi
 
Sisi tunatatizo Moja ukikifuatilia kitu Kwa dhati na haki, Hata kama kinafaida Kwa wote inaonekana mnoko, una roho mbaya na unajifanya kuwa na uchungu.

Hvyo watu wengi husita kutoa mapendekezo Yao na kupata uugwaji mkono.

Angalia kwenye miradi watu wanaiba waziwazi ukijifanya unajari inakuwa adui
Au utaonekana mjuaji sana watu watakupinga kwa vitakwimu na vihoja vyao uchwara alafu utaishia kujilaumu tu
 
Back
Top Bottom