Exposure ya Diamond ni ndogo, anahisi hapa Tanzania ana pesa nyingi, kumbe kuna watu

Kwenye moja ya majarida ya huko duniani,Dewji alizungumzia ndoto yake ya kuwa Namba moja Africa miaka kadhaa ijayo

Yaani MO anaota Africa halafu anatokea Checkbob na ndoto ya Dunia.

Ndoto zingine ukizisema kwa wenye akili timamu wanatilia shaka afya yako ya akili
 
Mwacheni bwana Kila mtu na ambition's zake..Kwani wewe zako ni zipi...?
 
Sasa kutokuwa miongoni mwa matajiri 1,000 kwa sasa Tanzania kunazuiaje kuzisema ndoto zake? Mtu anaweza kuwa na ndoto ya kuifikia hata kama hana sumuni na hili halihitaji exposure.
 
Kama kweli ana nia ya utajiri, aanze kuonesha dalili.

- Endorsement (hivi mtu Kama Beyonce, Jayz, Kanye West ) huwa wanapokea endorsement za makampuni mengine. Kupokea endorsement mpaka ya jezi ni tafsiri ya njaa.
-- Media haiwezi kumpa huo utaniri maana inategemea zaidi UCHAWA na kupata pesa za serikali

+----+++

Matajiri wakubwa wako kwenye biashara za Teknolojia, nishati safi (mafuta yanakufa), uvumbuzi, anga za mbali etc.

Sasa Diamond ambaye hata mziki wake anategea kuuza YouTube, Spotify, Boomplay, Deezer tena kupitia madalali (aggregate) siyo moja kwa moja anawezaje kuwa tajiri wa kwanza hata East Africa tu???
 
Hyo ni plan yake...anataka hivyo akishindwa ni sawa lakin amejaribu...ulitaka asiwe na malengo?
Mond itakua hajui $1B ikoje,sasa musk ana 150+,mo dewj 1.5, alifanikiwa kufika $2B atajua shughuli ya kumfikia dangote mwenye 13 achilia mbali musk, tatizo katokea umasikini wa kutupwa,alichonacho anaona kingi
 
Kasema anandoto ..asa unaanza uchawi mapema hivi
Wataka mpk akuambie mipango yake ambayo itamfanya awe ivo ?
 
Awadh namkumbuka akicheza tembo nzega,winga mahiri,leo kawa bilionea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…