Exposure ya Diamond ni ndogo, anahisi hapa Tanzania ana pesa nyingi, kumbe kuna watu

Jamaa kaelezea ukweli na uhalisia tulionao watanzania wengi, ila ninyi ndio mnataka kuwa wabishi tu.

Jamaa anatuonsha uhalisia vile vijana hatuna malengo ya uchumi, Afya, mahusiano n.k hata ya miaka mitano tu ijayo, ndomana anashangaa mwenzie kuwa na malengo ya kuwa tajiri mkubwa.

Ukitaka ushangae wewe achana na wenzangu namimi ambao hawajasoma, chukua wahitimu wa vyuo waulize malengo yao ndani ya miaka miwili, mitano, 10 hadi 20 utashangaa sana
 
Diamond karopoka bangi sio nzuri yaan kimantiki ni ngumu hawezi kuwa tajiri no 1 hata akiishi miaka 1000 kwa exposure yake
Sheria ya ulimwemgu inasema kama huwezi na hujawahi kupata 50 katika jambo lako usitegemee kupata 100
Tafuta 10 kisha 30 kisha 50 kisha 70 kisha 90 kisha 100
Sasa wewe hata matajiri 100 Tanzania haupo unataka uwe no 1 duniani
Kwanini asifikirie kuwa tajiri no kwanza Bongo kisha Africa
Mfano Dangote akisema nataka kuwa tajiri no 1 duniani unamuelewa sio Diamond wakina Pidddy Na Jay Z pamoja na kuwa exposure zote hata orodha ya kufikiria kuwa tajiri no 1 wanajua ngumu
Tunaishi kwa ndoto lkn sio ndoto hizo hayo ni matumizi mabaya ya akili au madawa
Huwezi kufikiria kupata 100 kama hujawahi kupata hata 50 pata kwanza 50 kuwa Tajiri no 1 Tz
 
Wewe utakua mchawi! Sijui hata hao marafiki zako wanawezaje kuishi na wewe
 
Wewe umejuaje kwenye matajiri 100 wa Tanzania yeye hayupo
 
Na ww umejuaje kama katika matajiri 100 Tanzania yupo maana mm nimesema hayupo kwakuwa bado anajitafuta
Hakuna sehemu nimesema yupo kwenye 100 au hayupo wewe ndio umepngea as if una ushahidi ndio maana nimekuuliza hivyo, ila mwanangu acha wivu diamond anajitafuta? Mbona kama unatupanga
 
Hakuna sehemu nimesema yupo kwenye 100 au hayupo wewe ndio umepngea as if una ushahidi ndio maana nimekuuliza hivyo, ila mwanangu acha wivu diamond anajitafuta? Mbona kama unatupanga
Hawezi kuwa tajiri no 1 kwakuwa hajawahi kujiweka katika matajiri kwanza kabla ya kifikiria dunia inatakiwa awe tajiri no 1 Tanzania kwanza hapa penyewe bado anawaza duniani ona mantki yangu kama unataka ubishi endelea mm nakuacha ila kwa exposure yake hata aishi miaka 1000 hawezi kuwa tajiri no 1 duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…